Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Halaf aliigiza movie moja inaitwa mrs doughtfire ahaha nilisikitika kusikia kajinyonga na ile jumanji yake kwangu ndio ilikua best kuliko hii wameact kina kelvin hart
Huyu Robin Williams alijiuwa kwa kujinyonga na ndie ali act jumanji ya kwanza
Kuna kuunganisha dot hapo?