Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ndio hivyo ila kwa wale walio na uelewa mdogo wengi ufariki au kupata ulemavu. Na sio uchawi tu ni uwe na nguvu kubwa ya kichawi kwani mchezo huu ni full mauzauza
Mshindi anapata nini? Ulemavu huo ni km UPI kwa mfano ili tuwafahamu watu hao wasije wakawa ndo tunakutana nao wamekaa pembezoni mwa barabara kumbe madizo.
 
Mfano katika pilika pilika za humo ndani ikatokea umepata ulemavu au ajali yoyote ya kuumia kiungo chako cha mwili basi hata ukirudi katika ulimwengu huu bado utakuwa kilema. Mfano: ukipata ulemavu Wa kuvunjika mguu katika ulimwengu huo Wa kichawi hata huku utakuwa hivyo hivyo...
 
Ukiiangalia ile jumanji ya kwanza utaona ni watoto waliokota kama kanda zile za vhc then wakakuta kuna kete wakajikuta wanacheza kumbe ndio wameingia kwenye huo mchezo na walitakiwa wacheze mpaka neno jumanji litokee katika ile kanda walipata misuko suko mingi sana na kadri walovyokua wanacheza ndio mitihani kwao ilizidi kua migumu japo waliweza
Tiririkeni tu wakubwa,angalau tusiangalie filamu kwa kubahatisha
 
Kwanini msiangalie filamu tena mkuu
Huwa nachukulia kuangalia ni kama kuvuta usingizi tu na kuwafikiria waigizaji katika kazi zao ni kama kupata kula yao tu.Wakimaliza kazi wanalipwa basi
 
Wengi huwa hawana muda Wa kufuatilia ni nini haswa lengo la filamu ila anaangalia pesa tu
 
Wengi huwa hawana muda Wa kufuatilia ni nini haswa lengo la filamu ila anaangalia pesa tu
Hilo lengo sasa.Zamani kama filam haina ngumi hainihusu kabisa,
Wanasaikolojia wakaja na yao katika matumizi ya akili
 
Halaf aliigiza movie moja inaitwa mrs doughtfire ahaha nilisikitika kusikia kajinyonga na ile jumanji yake kwangu ndio ilikua best kuliko hii wameact kina kelvin hart
Doubtfire mkuu
 
Snake & Lader
Labda inauhusiano na hiyo jumanji juu ya kifo chake kwa kweli

Ile movie me naipenda sana yan aliona watoto atakua mbali nao bora ajifanye baby sitter hahahahhahaa na jumanji alioact yeye ndio best hii movie nakumbuka home nilikuwaga na game linaitwa snakeleader kwa ndani ni draft ukiliweka sawa ndio unacheza hiyo snale leader nililiogopa mana niliona kama naweza cheza jumanji
Daah snake leader umenikumbusha kitambo sana, mjomba wangu alitufuma tunacheza karibia kila siku. Sasa siku moja tunatoka shule Jamaa tukakuta Jamaa amelitia moto bhana, hapo ni kilio cha hatari. Yeye anadai kuwa tutaleta masuala ya ajabu ajabu ndani ya nyumba.
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Hiyo sio zawadi bali unakuwa umeuhatarisha uhai wako kwa makusudi alafu uupiganie.
Zawadi ni kama malipo baada ya ushindi fulani! Sasa ili uhai huo uitwe zawadi, basi /ilitakiwa uongezwe mara mbili au zaidi.

Je, wewe waweza kuingia vita isiyokuhusu, isiyo na manufaa, isiyo na chochote unachokipigania wala isiyo ya nchi yako kwa kigezo kwamba zawadi ya ushindi ni kutoka ukiwa hai wakati uliingia ukiwa hai tayari?

Jambo hili halipatani na akili, labda ufikiri alafu unieleweshe vizuri mkuu
Umenena vema mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom