Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ok, so it's just a myth and not a real game, mi nikajua umeshawahi kucheza au kuona ukichezwa.
Elewa kauli ya kuwa kwa sasa hakuna wenye nayo zaidi ya familia ya Queen Elizabeth tu
 
Ok, so it's just a myth and not a real game, mi nikajua umeshawahi kucheza au kuona ukichezwa.
Ni kweli tambua kuwa hizi myth ndo zinajenga uhalisia Wa vitu vinavyoendelea katika jamii yetu.
 
Kama umeziangalia hizo movie na ukijaribu kumuelewa mleta mada ni kwamba wengi waliocheza hilo game walicheza bila kulijua au kujua kusudi la hilo game sasa baada ya kuanza kucheza na kujua unapigania uhai wako basi ndio ushindi wenyewe
Nimekupata mkuu
 
Ni kweli tambua kuwa hizi myth ndo zinajenga uhalisia Wa vitu vinavyoendelea katika jamii yetu.
Ok, mfano hii JUMANJI imejenga/inajenga uhalisia upi kwenye jamii yetu?
 
JF tunapeana maarifa. Mimi nimekwenda mpaka nje ya boksi maana Hawa madirector hawaoneshi kila kitu kuna sehemu Fulani zinakuwa sio za kuvutia kwa watazamaji. Pia hata movie nyinyi kuhusu myth madirector huwa wanachukua sehemu zenye kuleta hamu na sio hofu mwanzo mwisho.
Jumanji ni dangerous kwa upande wake.....
 
Ok, mfano hii JUMANJI imejenga/inajenga uhalisia upi kwenye jamii yetu?
Uhalisi Wa Jumanji ni kwenye ishu za imani. Tafuta hii kitu inaitwa Romania Game of Death na Dracula's Temple
 
Mkuu naomba nikujibu:
Mchezaji anapoingia katika ulimwengu huu anacheza ila balaa ni pale ambapo anakutana na mitihani migumu sana. Na nilisema kuwa prize ya kushinda ni uhai nikiwa na maana ya kuwa mtu akibaki hai mpaka mwisho na kumaliza challenges zote, basi uhai ndo utakuwa ndo zawadi pekee kwan hakuna zawadi nyingine baada ya kushinda challenges hizo.
Nadhani nimekujibu mkuu..
 
Na nilisema ni zawadi kulenga kwenye suala la kwamba Mchezaji ni sawa ana hatarisha maisha yake, ndani ya mchezo huu Wa Jumanji, na ile ya kwamba washiriki wengi hawajui mchezo huu wanajikuta wakiwa wanashiriki "by mistake" hapo unakuta anapigania maisha yake baada ya kuona mabalaa yanamsonga...
 
British Royal Family wanapata nini kuhusiana na jumanj?
Mkuu kwa hali ya kawaida tunawaona kama ni watu wa kawaida lakini Hawa ni kati ya makundi machache tu duniani ambayo yanamiliki vitu vya ajabu pamoja na vitu vya kale vyenye historia. Jumanji inadaiwa ilikuwa inanadiwa katika minada ya siri sana ya Illuminat. Na kwa kuwa Royal family ya uingereza ina ushawishi pamoja na pesa kwa kiwango kikubwa, wao ndo walipata nafasi pekee ya kununua hiki kidumbwana.
Hapo nadhani umenipata mkuu.
 
Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom