Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,130
Sijawahi ona hii, dunia haiishiwi vioja aisee.
Nyie ndo kila weekend mpo ukweni kupiga story.
Story za mkwe unazipata kwa mwenza wako, hata ukienda ukweni hutakiwi kuonana na mkweo mara kwa mara labda kwa sababu maalum.
Mnaonana au mzoeane kuongea nini? Awe huru ili akwambie nini? Kama ana shida atamwambia mwenza wako yeye ndo atapima akwambie wewe au asolve mwenyewe.