Uko vipi na mama mkwe wako?

Uko vipi na mama mkwe wako?

Hata sikumbuki mara ya mwisho tumeongea mwaka gani kwa simu.
labda akija kwangu au nikienda kwake na lazima kuwe na shida ya maana labda ugonjwa au msiba vinginevyo hatuna mazoea na haitatokea kwa mila za kabila langu.

Baba mkwe tumeongea kwenye simu mara ya mwisho ilikuwa mwezi Juni mwaka huu
 
Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.

Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.

Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.

Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.

Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.

JF
Mama mkwe kapata mkwe muhuni[emoji51]
 
Wewe kaa na Mama mkwe kama alivyo, achana na Phantasy za kihuni za mtaani, Heshima toka kwa Mama mkwe ni sawa.

Na hao wa Mama Mkwe hawana maana, usiwatilie maanani, bado una safari ndefu sana ngumu naye.

Kaa kwa machale, la sivyo ukijidai na bla bla utavuruga mambo yako kwa kupambana na ukweni.

Shukrani mkuu
Nimekuelewa
 
Sijawahi ona hii, dunia haiishiwi vioja aisee.

Nyie ndo kila weekend mpo ukweni kupiga story.

Story za mkwe unazipata kwa mwenza wako, hata ukienda ukweni hutakiwi kuonana na mkweo mara kwa mara labda kwa sababu maalum.

Mnaonana au mzoeane kuongea nini? Awe huru ili akwambie nini? Kama ana shida atamwambia mwenza wako yeye ndo atapima akwambie wewe au asolve mwenyewe.

Sawa mkuu
Huwezi kuwa sawa kila wakati ndomana tunajifunza kutoka kwa watu wengine.
Nimekuelewa mkuu
Shukrani
 
Kwa hiyo kwa akili zako, unadhani wewe unaelewa sana haya mambo kuliko mama mkwe wako?

Ndio maana vijana wengi ndoa zinawawia ngumu, hamjui mipaka yenu.

Saiv najua mkuu
 
Mi na mama mkwe wangu ukitukuta utadhani mi ni mwanae...

Yaani ananijali mpaka basi...

Nampenda mama mkwe wangu...

Yesu naomba uzidi kunipa kibali kwake...
 
Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.

Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.

Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.

Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.

Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.

JF
Wewe hay Sule hujui mipaka yako na mama mkwe wako awe Mwiraqw au kabila ingine?! Unataka ushikaji na mama mkwe ili iweje? Pumbafu yako, pumbafu ya wazazi waliokulea😡😡😡
 
Wewe hay Sule hujui mipaka yako na mama mkwe wako awe Mwiraqw au kabila ingine?! Unataka ushikaji na mama mkwe ili iweje? Pumbafu yako, pumbafu ya wazazi waliokulea[emoji35][emoji35][emoji35]

[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Sikumbuki ilikuwaje lakini naishi naye vizuri sana, ni kama mama angu mzazi kabisa.
 
Back
Top Bottom