Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

Sky Eclat ukiwa katika state ya homosexuality hakuna hofu kubwa zaidi ya kujulikana na wale unaowapenda cause all you can think about is loosing them. Though the truth is there is nothing you can do ikifikia stage ya kugundua especially kwa grown up person maana what you have just found out was meant to be kept as a secret. There is nothing you can do zaidi ya gay guy kujizuia which is almost impossible kwa long run
 
2 years back niliandika thread kuhusu struggles zangu kuhusu homosexuality ila hadi leo naona misconception kama hizi ambazo hazisaidii chochote. it's impossiblr umbadilishe mwanao kwa kutaka awe wewe unavyotaka and some of you guys mnawapiga without giving them a chance to express themselves and end of the day wanawaigizia tu. it's impossible kumsaidia mtu usiemuelewa just give them a chance to explain it to you cause some of them were abused sexually as kids and some were born that way
 
Hakuna namna ila kumtoa hapo na kumpeleka kijijini akakutanishwe na wazee wa jadi wamfanyie maswala ya kimila ikiwamo kumjenga kiume akae huko hata miaka mitano. Akitoka huko anaweza kuwa sawa.
kuna hao wazee wa kimila ni mashoga wazuri tu, Kuna mapadre, wachungaji, masheikh, wanasiasa, gym trainers, athletes, celebrities, Doctors and the list is endless. Bad thing mwahisi kila gay yupo kama james delicious au kaoge while the truth is wapo watu wenye watoto wakubwa kama wewe yet ni homosexuals
 
Chanzo kikubwa cha ushoga ni wanaume mabasha, hawa ndio wa kudeal nao...

Kilichobaki ni kuwafumua ubongo kwa risasi hawa wanaume...

Hivi mnajua kuna baadhi ya wanasiasa wakubwa tu, pia kuna hawa sijui wachungaji, mitume, manabii, masheikh, maaskofu wengi tu wanakula ndogo kutokana na mikataba ya kishetani waliyojifunga nayo?

Tena hawa watu ndio chanzo kikubwa cha ushoga kushamiri...
 
Risk nyingine kubwa iko kwa single mother’s wanaosnza mahusiano mapya. Unakuta hali ya kiuchumi ni mbaya na mwanaume anaahidi atamlipia kodi ya nyumba.

Kuwaweka watoto karibu na wapenzi wapya ni hatari, wanaweza kuwafanyia lolote.

Na nyinyi wanaume mnaokimbia mimba haya ndiyo mnayasababisha kwa watoto wenu.
 
Sure, mimi lazima nimjenge kiume, akianza kubalehe nitamwambia K ni tamu, nimfanye achuki pigo za kike!

Be man, strong, asiogope, mtu akikuletea pigo za kigasho mara ww mzuri, piga mawe.
 
Kuhusu hio superman kuwa shoga haipo kwenye cartoon ni kitabu cha katuni na shoga sio superman ni mtoto wa superman. Hivyo vitabu vinauzwa dola tatu mpaka tano kwa huko marekani. Ni series na huwa zinatoka kwa mwezi mara moja au mbili na huchukua muda mrefu hata mwaka kwa story kuisha. Kuvipata sio rahisi mpaka udownload illegal. Kwa sasa watoto wapo salama kiasi mpaka watakapoamua kuweka huo ushoga kwenye cartoon za television.
Tuendelee kukomaa na maadili yetu tu kwa sasa huku tukiomba Mungu sana atuepushie hili janga kwa watoto.
 
Wengi wanaharibiwa/haribikia shule.

Wazazi wengi huwalinda watoto wao dhidi ya vitendo viovu kama hivyo ila bahati mbaya wakiondoka na wakawa mbali na wazaz/walezi ndo hapo kasheshe huanza.

Ila ni kama wadau walivosema ni ngumu hata kuimagine utamfanya nini mwanao ukijua anapigwa pipe.
 
Humu wengi wao hawajui kuhusu haya mambo ...ndo maana nikasema kwa wamuaminio mungu "wasali sana na kumuomba mungu"
 
Duuhh...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…