Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,981
- 4,116
[emoji1787][emoji1787]Heri yako kwa kugundua, umechelewa kugundua SIRI hii ila bado hakijaharibika kitu. Hakika umepona na utakuwa salama, karibu sasa kilingeni. Karibu kijana!
[emoji1787][emoji1787]Heri yako kwa kugundua, umechelewa kugundua SIRI hii ila bado hakijaharibika kitu. Hakika umepona na utakuwa salama, karibu sasa kilingeni. Karibu kijana!
Hela ya mwanamke ni yake ila hela ya mwanaume ni yao. Utajiju endelea kupingaSi kila mwanamke mwenye kipato kikubwa yupo kama unavyosema wewe. Usikariri.
We mwana umenikumbusha kitu nina ndugu yangu alikua na pesa.. alikua na semi 8 na daladala 6 gari za kitembea 2 na nyumba ya maana ya kuishi.. jamaa alikua hana habar kabisa na ndugu hata kuwashika mkono kuwaonesha maisha yalipo.Wewe ni mjinga halafu ni si ajabu huyajui maisha vzr
Unaweza ukaumwa mpk hivyo vihela hela vyake vinavyokupa kibri vikaisha sasa ni nani wakukuonea huruma km sio watu wako wa karibu???
Kaka yangu alifikisha account ya million 220,v8 na ghorofa juu hakuwahi kuona umuhimu wa ndugu hata mmoja leo hii ananipigia simu mimi kuniomba 10,000/- na toka kashika hela ni 8years hajawahi kunipigia simu wala kujua nipo wapi from no where kapiga simu kajitambulisha kaomba 10k.
Kua uyaone, ugonjwa umewashikisha adabu vibri na wajinga km wewe wengi sana na unashikishwa adabu km masihara hivi..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakika, tutapunguza hata rate ya wanaume kufa mapema, tujipende jaman
Endelea kuinjoy na viande mrembo.Hela ya mwanamke ni yake ila hela ya mwanaume ni yao. Utajiju endelea kupinga
Tatizo wengine wanaoa kwa kuangalia sura na makalioInategemea mimi mke wangu ni very supportive ananipiga tafu sana
Subiri uumwe ngiri maji au ufukuzwe kaziInategemea mimi mke wangu ni very supportive ananipiga tafu sana
Tatizo wengine wanaoa kwa kuangalia sura na makalio
HongeraMimi nadhani inategemea na mwanamke mwenyewe ,, watu wengi wanakosea kitu kimoja kuoa au kuwa na malengo na maslay Queen hawa ni wakuchzea tu, unakuta mwanamke mzuri ila kichwan ni box tupu anawaza nywele,kucha na ujinga ujinga mwingine badala ya maendeleo.
Mimi na mtu wangu bado sijamuoa ila tunasaidiana sana na sio mchoyo kwenye pesa zake hata kidogo,, kuna kipind nilikwama sana alinisave sana wala hakubadilika hata kidogo.
Ushauri unapotafuta mchumba au mke usiangalie tu urembo ,, me nikimtongoza mwanamke ndani ya wiki 2 tu nikiona tabia zake haziendani na mimi namuacha mara moja wala sijiuliza mara mbili.
Mpaka unafikia hatua ya kuoa maana yake ushamjua vizur mtu wako sasa huyo jamaa yako aliingia mkenge akaoa shetan so ondoa mawazo kwamba kila mwanamke yupo hivo,, sweetie wangu mtu muelewa sana hajawahi kuwa hivo
Napinga ndio, mbona mshahara wa wife ananipa mimi na naupangia matumizi? So, sio kila mwanamike labda kwako.Hela ya mwanamke ni yake ila hela ya mwanaume ni yao. Utajiju endelea kupinga
Mdukuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngiri maji au afukuzwe kazi.Subiri uumwe ngiri maji au ufukuzwe kazi
Wewe eva alishindwa kumsaidia adam wakati wapo kwwnye furaha ndio utegemee usaidiwe wakati wandhiki. Tusiwe na matumaini ya ajabu na hawa wanawakeHyo sio inshu ,inshu Nikua hata hao watatu je ukikwama watakusaidia ktk dhiki?
Ahsante mkuu na naamini mkiwa mnapendana kweli kutendeana wema na kuhurumiana kupo. Ila tukikosea kuishi na hatuna upendo basi ndiyo hayo maroho mbaya hutokea sababu haumpendani.Hongera kwamoyo huo,heri yake atakae Kua naww ktk maisha yandoa
Wewe ni mjinga halafu ni si ajabu huyajui maisha vzr
Unaweza ukaumwa mpk hivyo vihela hela vyake vinavyokupa kibri vikaisha sasa ni nani wakukuonea huruma km sio watu wako wa karibu???
Kaka yangu alifikisha account ya million 220,v8 na ghorofa juu hakuwahi kuona umuhimu wa ndugu hata mmoja leo hii ananipigia simu mimi kuniomba 10,000/- na toka kashika hela ni 8years hajawahi kunipigia simu wala kujua nipo wapi from no where kapiga simu kajitambulisha kaomba 10k.
Kua uyaone, ugonjwa umewashikisha adabu vibri na wajinga km wewe wengi sana na unashikishwa adabu km masihara hivi..
Si kila mwanamke mwenye kipato kikubwa yupo kama unavyosema wewe. Usikariri.
Vizuri, umejifunza sasa. Unafikiri ni mke ndiye alianza huu upuuzi? Lazima kuna sababu.Toka nishuhudie mke anasafiri kwenda mji mwingine na Daktari wa mume wake kwenda kula bata huku mume yupo wodini hapo hapo kalazwa- nikajua hii taasisi ya ndoa imejaa maumivu na visasi vya kimya kimya
Wanawake wengi wenu ni WABINAFSI, awe ana kipato au hana.Mwanamke akikupenda yupo tiyari kukopa kwa ajili yako.
Tatizo na nyinyi wanaume siku hizi mnapenda mteremko, mnapenda kuoa wanawake wenye vipato au wenye status za familiya yaani kuoa mtoto wa fulani.
Inaonesha mpaka huyo mwanaume anakosa hiyo pesa nae hayuko vizuri kifedha. Means mwanamke ana kipato zaidi.
Mnaoa kutafuta sifa mwisho zinawaponza.
Mimi ningekuwa mwanaume misingeoa mwanamke anaenizidi kipato.