“ She is Not like other women, She’s Different from other Women“
Kauli ya Mwanaume Lofa ambaye atakuja Kuumeni analia muda si mrefu akishakuwa ‘ disillusioned’
ALL WOMEN ARE THE SAME! Amini hivo hutajuta maisha yako yote
Mrembo wangu, nikimbikiri na anaonyesha kunijali sana. She is in her early 20s mimi niko early 30s!
One day simu yake imevunja kioo hana pesa kama mnavyojua vioo vya Samsung ni expensive!
Nikampeleka akanunua kama 90K
The moment natoka niwahi Shift kazini ilikua jioni na nilitakiwa kuwahi maana nipo night shift nishapigiwa simu!
Nikaamua nipande boda kama buku tuu nauli so sikutaka nifike tuanze kutafuta chenji ntakua nazidi kuchelewa maana nilikua na noti ya elfu 10.
Sasa mdada alikua ameshika Noti mbili za elfu moja moja jumla kama elfu mbili hivi mkononi nikasema anipatie buku nipande boda.
Huwezi amini first impulse yake ni kuninyima ile buku na kashasahau nimempatia 90k pale ya kioo.
So pamoja na kutoa hiyo 90k alininyima 1k on the spot!
Ole wake mwanaume anaeamini Kuwa Mwanamke wake (wife, Gf etc) yupo tofauti na Wanawake wengine. Wote ni wale wale
And usioe Mwanamke kisa Ana pesa eti with a hope kwamba atakusaidia ukikwama hili lipo wazi siwezi kulitilia mkazo tena!
Mwanaume una Mungu tuu kama Kimbilio lako na wewe Mwenyewe .
Mungu “asipokusaidia” mwambie achukue roho yako.
Onyo: Don’t take your life as a Man.
Mwanaume kamili anajipenda na kujithamini, hashindani na Uke wa Mwanamke hadi anatoa mijasho, yeye anajiburudisha yeye tuu Mwanamke ni second na tegemeo lake ni Mungu na miguu yake miwili, nje ya hapo bora afe kwa kukonda hata mbavu zionekane zote.
Be a man even when dying!
Kuweni kama Ayubu
Msiwe kama Adam.