Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

Oa mwanamke anayekupenda,
Wanaume wengi wanawashawishi kwa mali, wadhifa n.k ili kuwawin wanwake waingie nao kwenye ndoa na kuwamiliki pasipo kutengeneza mazingira ya kumfanya mwanamke akupende
Ushauri mujarabu kabisa huu kwa mwenye masikio na asikie. Wanaume wengi sana hua tunakosea kuanzia mwanzo kabisa wa mahusiano.
 
Hali gani? Wanawake wengi wa kitanzania wana unafiki na ubinafsi wa hali ya juu ndani yao. Hili nimelithibitisha yapata miaka 3 sasa. Wengi wakiumwa wao wanataka kuhudumiwa na kupewa attention na care, ila akiumwa mwanaume hata kukopa hela hataki.

Kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa nimem save juzi tu hapa. Alikuwa na mke wake, mke alikuwa mfanyakazi mwenye kipato kizuri. Jamaa alikuws anahitaji 500K kwa ajili ya operation. Mke alikana kata kata kuwa na hela.

Imagine jamaa usiku halali ni kuugulia maumivu tu, analia wakati mwingine kama mtoto. Mbaya zaidi huyu mwanamke aliwahi kuumwa mwaka mzima, aliwahi kulazwa miezi miwili, jamaa alitoa jumla ya 5M ya matibabu. Hapo mke alipata hela special kazini ya likizo ya matibabu ila akaficha.

Huyu jamaa alimpigia ndugu yake amsaidie, ila mke wa huyo ndugu yake naye kamuambia mumewe wana majukumu mengi hivyo asitoe hiyo hela. Imagine mtu anateseka halafu wanapigiana mipira hivi.

Mwisho ikabidi anitafute. Nami bila hiyana nikam save jamaa yangu.

Funzo: mwanaume jijali, jipe raha na ujipende mwenyewe KWANZA. Potelea mbali hata wakikuona mbinafsi. 90+% ya mnaowaita wake zenu ni wabinafsi and they are money oriented.

Inasikitisha. Mke wake amenipigia simu ananishukuru(unafiki tu), jamaa kesho anakwenda kufanya OP.

Nimejifunza hapa. Huyu ni mmoja tu, je, wapo wangapi wanakufa kabisa kutokana na ubinafsi na uchoyo wa wanaowaita wake zao? Jibu unalo.!
Kuna wanawake wana roho ngumu sana. Niliwahi kuwa na mwanamke namjali sana. Kuna.kipindi akaja kaa na mimi, sasa mambo yakawa hayako vizuri. Anaona nahangaika naunga unga tu ili mradi asikose kitu anajua kabisa kuwa mambo sio poa. Lakini ye kimwa. Sasa alikuwa na begi la mgongoni kaliweka kabatin kwangu, asubuhi moja natoka nikawa na shida na beg, nikalichukua kuchek ndani ana kama lak sita, nikaitoa nikaiacha chini ya nguo nikasepa.
Baada ya muda akagundua nmeondoka na bag akapiga simu, umeondoka na bag, nikamjibu najua waswas wako ni pesa ipo chini ya nguo. Akaanza jitetea kuhusu hiyo pesa sijui hivi na vile.
Mimi sikumuuliza nakawa na akili kichwani kuwa huyu sio mtu anayeweza kukusupport.
 
Duh, kweli wanawake selfish sana, aisee sera yangu kuu mwaka huu na ijayo, ni kuwa "mimi kwanza" miradi na uchumi wangu ndo kipaumbele, sio hawa ngedere ambao shamba likiisha mazao wanahamia kwingine.
 
Aisee hiyo ni roho ngumu mno, yaani mume aumwe niwe na pesa nisimpe ili atibiwe mmh , utakua na furaha gani na pesa zako huku babe,mpenzi,mkata kiu wako akiugulia maumivu?😒. Yanauzwaga hadi mashamba ili mgonjwa atibiwe akipona tutatafuta vingine.

Note: ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ke wote, do not generalize.
Umeolewa?
 
Sasa unataka mwanamke akukopee hela? Hilo neno limenikata kuendelea kusoma! Tafuten hela Vijana maisha Ni matamu Sana!

Wewe ni mjinga halafu ni si ajabu huyajui maisha vzr

Unaweza ukaumwa mpk hivyo vihela hela vyake vinavyokupa kibri vikaisha sasa ni nani wakukuonea huruma km sio watu wako wa karibu???

Kaka yangu alifikisha account ya million 220,v8 na ghorofa juu hakuwahi kuona umuhimu wa ndugu hata mmoja leo hii ananipigia simu mimi kuniomba 10,000/- na toka kashika hela ni 8years hajawahi kunipigia simu wala kujua nipo wapi from no where kapiga simu kajitambulisha kaomba 10k.

Kua uyaone, ugonjwa umewashikisha adabu vibri na wajinga km wewe wengi sana na unashikishwa adabu km masihara hivi..
 
Kuna wanawake wana roho ngumu sana. Niliwahi kuwa na mwanamke namjali sana. Kuna.kipindi akaja kaa na mimi, sasa mambo yakawa hayako vizuri. Anaona nahangaika naunga unga tu ili mradi asikose kitu anajua kabisa kuwa mambo sio poa. Lakini ye kimwa. Sasa alikuwa na begi la mgongoni kaliweka kabatin kwangu, asubuhi moja natoka nikawa na shida na beg, nikalichukua kuchek ndani ana kama lak sita, nikaitoa nikaiacha chini ya nguo nikasepa.
Baada ya muda akagundua nmeondoka na bag akapiga simu, umeondoka na bag, nikamjibu najua waswas wako ni pesa ipo chini ya nguo. Akaanza jitetea kuhusu hiyo pesa sijui hivi na vile.
Mimi sikumuuliza nakawa na akili kichwani kuwa huyu sio mtu anayeweza kukusupport.
Siku zote akili kumkichwa, hongera.
 
Wewe ni mjinga halafu ni si ajabu huyajui maisha vzr

Unaweza ukaumwa mpk hivyo vihela hela vyake vinavyokupa kibri vikaisha sasa ni nani wakukuonea huruma km sio watu wako wa karibu???

Kaka yangu alifikisha account ya million 220,v8 na ghorofa juu hakuwahi kuona umuhimu wa ndugu hata mmoja leo hii ananipigia simu mimi kuniomba 10,000/- na toka kashika hela ni 8years hajawahi kunipigia simu wala kujua nipo wapi from no where kapiga simu kajitambulisha kaomba 10k.

Kua uyaone, ugonjwa umewashikisha adabu vibri na wajinga km wewe wengi sana na unashikishwa adabu km masihara hivi..
Muache huyo, nishamchana hapo juu, sijui ni lizee hili au kijana? Haeleweki.
 
Ushauri: mwanamke jipende na ujijali wewe mwenyewe na watoto wako.
Good! Mbona hayupo wa kukusapoti? Ni kama upo peke yako hivi? Ndio kusema umeandika pumba au? [emoji23][emoji2][emoji2][emoji23] walitakiwa wenzio waje hapa, ila wame mute, wana tabia mbaya sana hawa.
 
Kumbe wewe umeandika ili waje wenzio wa kukusapoti!! Basi sawa.

Mie ushauri uloutoa ndio huohuo nami nimewapa wanawake, vipi mbona povu tena[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Nani katoa povu? Nimeuliza swali, hebu usifananishe povu na vitu visivyostahili kuitwa povu.
 
Back
Top Bottom