Daahh,mzeebaba umenitoa machozi mara baada yakumaliza kusoma Uzi wako, kiukweli bado mm pia najiuliza nakuomba Mungu anipatie mke atakaeweza kunisaida nikiwa nimekwama more especially ktk kuugua,wanaume wengi huona nijukumu Lao nahuubeba msalaba vilivyo pindi wake zao wanapopatwa namatatizo ,Ila kinyume chake nimajanga,hata Kwa hawa magirlfreinds ,,ukipatwa nnashida hawezi Kua nasuluhisho lolote ,kinyume chake ww unabeba jukumu,moja Kati yavigezo vyangu vyakuoa,kipimo mojawapo kikubwa niuwezo nautayari wamwanamke kunisaida pindi nnapokwama!sio nimsaidie yy Tu!