Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

Ukitaka kujua kama unapendwa kweli ugua

Alikuwa na mke wake, mke alikuwa mfanyakazi mwenye kipato kizuri
Mke sio ndugu yako na Ile haja ya kumsafisha nyota ya kuolewa ukishamuoa Hana time na wewe.
Umeshamzalishia Ana watt wake kadhaa.
Yaani mke mwenye hela zake ni bonus kwako dune kuwa haumhudumii Ila ni jukumh lako kumhudumia mkeo hata kwa wembe wa kukata kucha.
Binafsi niliamua kuwa na mama wa nyumbani ijulikane kuwa Sina nayetegemea kunipiga kampani ya mahitaji ya familia.
Nikimuajili mie Hana kiburi Sana.
Mana akipata kipato ambacho ni above laki tano so tayari ni ajira iyo Tena ya msomi wa masters.
Usioe kazi Wala elimu jamani ama pesa
 
Umenikumbusha mbali Mwaka flan kipindi cha homa ya dengue nikiwa mitaa ya Uhasibu niliumwa Ule ugonjwa vbaya mno kutembea siwezi kichwa Sina nguvu Yani siwez Fanya chchte Hapo nilipitisha siku nzma sijala nimelala tu kama mfu Kuna Huyo manzi yangu nikamwomba anisaidie japo matunda aniletee akadai Hana hela nkamwambia njoo hela nakupa akakataa katakata halaf jioni ananiambia kamsindikiza rafiki yake karume kununua vitu, aisee niliumia Sana Ila nilimchezea mchezo uliomuumiza Sana kisaikolojia.
 
Tunaoa matako makubwa nyonga ndogo jicho kungumanga..
Mke kuwa na tako muhimu bwana...la muhimu kizingatia ni kwamba mwanamke yupo duniani kugegedwa akizingua unatafuta mwengine unatia ndani na lazima uwe na wanawake watatu minimum
 
Hali gani? Wanawake wengi wa kitanzania wana unafiki na ubinafsi wa hali ya juu ndani yao. Hili nimelithibitisha yapata miaka 3 sasa. Wengi wakiumwa wao wanataka kuhudumiwa na kupewa attention na care, ila akiumwa mwanaume hata kukopa hela hataki.

Kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa nimem save juzi tu hapa. Alikuwa na mke wake, mke alikuwa mfanyakazi mwenye kipato kizuri. Jamaa alikuws anahitaji 500K kwa ajili ya operation. Mke alikana kata kata kuwa na hela.

Imagine jamaa usiku halali ni kuugulia maumivu tu, analia wakati mwingine kama mtoto. Mbaya zaidi huyu mwanamke aliwahi kuumwa mwaka mzima, aliwahi kulazwa miezi miwili, jamaa alitoa jumla ya 5M ya matibabu. Hapo mke alipata hela special kazini ya likizo ya matibabu ila akaficha.

Huyu jamaa alimpigia ndugu yake amsaidie, ila mke wa huyo ndugu yake naye kamuambia mumewe wana majukumu mengi hivyo asitoe hiyo hela. Imagine mtu anateseka halafu wanapigiana mipira hivi.

Mwisho ikabidi anitafute. Nami bila hiyana nikam save jamaa yangu.

Funzo: mwanaume jijali, jipe raha na ujipende mwenyewe KWANZA. Potelea mbali hata wakikuona mbinafsi. 90+% ya mnaowaita wake zenu ni wabinafsi and they are money oriented.

Inasikitisha. Mke wake amenipigia simu ananishukuru(unafiki tu), jamaa kesho anakwenda kufanya OP.

Nimejifunza hapa. Huyu ni mmoja tu, je, wapo wangapi wanakufa kabisa kutokana na ubinafsi na uchoyo wa wanaowaita wake zao? Jibu unalo.!
Daahh,mzeebaba umenitoa machozi mara baada yakumaliza kusoma Uzi wako, kiukweli bado mm pia najiuliza nakuomba Mungu anipatie mke atakaeweza kunisaida nikiwa nimekwama more especially ktk kuugua,wanaume wengi huona nijukumu Lao nahuubeba msalaba vilivyo pindi wake zao wanapopatwa namatatizo ,Ila kinyume chake nimajanga,hata Kwa hawa magirlfreinds ,,ukipatwa nnashida hawezi Kua nasuluhisho lolote ,kinyume chake ww unabeba jukumu,moja Kati yavigezo vyangu vyakuoa,kipimo mojawapo kikubwa niuwezo nautayari wamwanamke kunisaida pindi nnapokwama!sio nimsaidie yy Tu!
 
Aisee hiyo ni roho ngumu mno, yaani mume aumwe niwe na pesa nisimpe ili atibiwe mmh , utakua na furaha gani na pesa zako huku babe,mpenzi,mkata kiu wako akiugulia maumivu?[emoji19]. Yanauzwaga hadi mashamba ili mgonjwa atibiwe akipona tutatafuta vingine.

Note: ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ke wote, do not generalize.
Hongera kwamoyo huo,heri yake atakae Kua naww ktk maisha yandoa
 
Kuna wanawake wana roho ngumu sana. Niliwahi kuwa na mwanamke namjali sana. Kuna.kipindi akaja kaa na mimi, sasa mambo yakawa hayako vizuri. Anaona nahangaika naunga unga tu ili mradi asikose kitu anajua kabisa kuwa mambo sio poa. Lakini ye kimwa. Sasa alikuwa na begi la mgongoni kaliweka kabatin kwangu, asubuhi moja natoka nikawa na shida na beg, nikalichukua kuchek ndani ana kama lak sita, nikaitoa nikaiacha chini ya nguo nikasepa.
Baada ya muda akagundua nmeondoka na bag akapiga simu, umeondoka na bag, nikamjibu najua waswas wako ni pesa ipo chini ya nguo. Akaanza jitetea kuhusu hiyo pesa sijui hivi na vile.
Mimi sikumuuliza nakawa na akili kichwani kuwa huyu sio mtu anayeweza kukusupport.
Pole mkuu,narudia kusema moja Kati yavigezo vyakua namtu ktk ndoa,niuwezo wakukusaidia au utayari wakutatua tatizo,wakati ukiwa umekwama
 
Wewe ni mjinga halafu ni si ajabu huyajui maisha vzr

Unaweza ukaumwa mpk hivyo vihela hela vyake vinavyokupa kibri vikaisha sasa ni nani wakukuonea huruma km sio watu wako wa karibu???

Kaka yangu alifikisha account ya million 220,v8 na ghorofa juu hakuwahi kuona umuhimu wa ndugu hata mmoja leo hii ananipigia simu mimi kuniomba 10,000/- na toka kashika hela ni 8years hajawahi kunipigia simu wala kujua nipo wapi from no where kapiga simu kajitambulisha kaomba 10k.

Kua uyaone, ugonjwa umewashikisha adabu vibri na wajinga km wewe wengi sana na unashikishwa adabu km masihara hivi..
Kweli mkuu,nasio ugonjwa Tuambo yapo mengi yakukugeuza kutoka Tajiri Kua lofa,kufilisika kupo mkuu,nivizuri Kua nahakika yawatu wanaoweza kukusaidia kipindi ukiwa nashidayakudhalilika
 
Back
Top Bottom