Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,709
Jipe moyo
Jipe moyo
Najipaje moyo wakati haijawahi kunikuta? Wangu si kama wewe. Tena koma!Jipe moyo
Ukimaliza tuma salamu.Najipaje moyo wakati haijawahi kunikuta? Wangu si kama wewe. Tena koma!
Hujui ulisemaloYaani mume kabisa? Nope namaanisha nnachokisema leo hata nikiolewa sitobadilisha.
Why mkuu? Kwani si mnapendana kweli why usimuhudumie mwenzio?Hujui ulisemalo
Shida ni kwamba wanaume wengi hawapendi wanawake wanaowapenda, ambao ndio wangefanya chochote ili tu afurahi. Ila sasa wasipopendwa,wanapochunwa pesa, wnapodanganywa ndio hugharamia kuzidi kwa mtu ambae anampenda kiukweli.Wanaume huwa mnajichanganya tu unamkuta mwanaume kang'ang'ania asikopendwa yaan dalili zote za mateso huko mbele anaziona lakini anapuuzia{sijui huwa mnarogwa},,mara nyingi matokeo yake ndo hayo unakuta mtu hata hakujali anakuona wa kazi gani.
Binafsi huyu kaka akipata hata mafua nachanganyikiwa mimi pia nikiugua namuona anavyohaha.Ni kumuomba tu Mungu akupe anayekupenda na umpende pia
Tafuta hela...utapendwa tu......hela ikiisha na mchezo umekwishaOa mwanamke anayekupenda,
Wanaume wengi wanawashawishi kwa mali, wadhifa n.k ili kuwawin wanwake waingie nao kwenye ndoa na kuwamiliki pasipo kutengeneza mazingira ya kumfanya mwanamke akupende
Duuuh kweliAcha tu kujipenda,,, Mwanaume kwa dunia ya sasa unaoa ili iweje???? ugundue nini???
Hakuna jema tena hiki kizazi,, Make sure unakula maisha,,, Support familia yako (Ndugu za damu, wazazi) na watoto wako....
Hao mara nyingi ukiwainua hawakusahau kirahisi,,, na sio huyu Kenge mnayekutana ukubwani na kujifanya mnapendana
Nimekupata mkuu big point!“ She is Not like other women, She’s Different from other Women“
Kauli ya Mwanaume Lofa ambaye atakuja Kuumeni analia muda si mrefu akishakuwa ‘ disillusioned’
ALL WOMEN ARE THE SAME! Amini hivo hutajuta maisha yako yote
Mrembo wangu, nikimbikiri na anaonyesha kunijali sana. She is in her early 20s mimi niko early 30s!
One day simu yake imevunja kioo hana pesa kama mnavyojua vioo vya Samsung ni expensive!
Nikampeleka akanunua kama 90K
The moment natoka niwahi Shift kazini ilikua jioni na nilitakiwa kuwahi maana nipo night shift nishapigiwa simu!
Nikaamua nipande boda kama buku tuu nauli so sikutaka nifike tuanze kutafuta chenji ntakua nazidi kuchelewa maana nilikua na noti ya elfu 10.
Sasa mdada alikua ameshika Noti mbili za elfu moja moja jumla kama elfu mbili hivi mkononi nikasema anipatie buku nipande boda.
Huwezi amini first impulse yake ni kuninyima ile buku na kashasahau nimempatia 90k pale ya kioo.
So pamoja na kutoa hiyo 90k alininyima 1k on the spot!
Ole wake mwanaume anaeamini Kuwa Mwanamke wake (wife, Gf etc) yupo tofauti na Wanawake wengine. Wote ni wale wale
And usioe Mwanamke kisa Ana pesa eti with a hope kwamba atakusaidia ukikwama hili lipo wazi siwezi kulitilia mkazo tena!
Mwanaume una Mungu tuu kama Kimbilio lako na wewe Mwenyewe .
Mungu “asipokusaidia” mwambie achukue roho yako.
Onyo: Don’t take your life as a Man.
Mwanaume kamili anajipenda na kujithamini, hashindani na Uke wa Mwanamke hadi anatoa mijasho, yeye anajiburudisha yeye tuu Mwanamke ni second na tegemeo lake ni Mungu na miguu yake miwili, nje ya hapo bora afe kwa kukonda hata mbavu zionekane zote.
Be a man even when dying!
Kuweni kama Ayubu
Msiwe kama Adam.
Sijui kwa nini mara nyingi anayekupenda hawi mzuri na hakuvutii. Based on experience!Shida ni kwamba wanaume wengi hawapendi wanawake wanaowapenda, ambao ndio wangefanya chochote ili tu afurahi. Ila sasa wasipopendwa,wanapochunwa pesa, wnapodanganywa ndio hugharamia kuzidi kwa mtu ambae anampenda kiukweli.
Yes, kumbe ni wizi wizi tu!Acha tu kujipenda,,, Mwanaume kwa dunia ya sasa unaoa ili iweje???? ugundue nini???
Hakuna jema tena hiki kizazi,, Make sure unakula maisha,,, Support familia yako (Ndugu za damu, wazazi) na watoto wako....
Hao mara nyingi ukiwainua hawakusahau kirahisi,,, na sio huyu Kenge mnayekutana ukubwani na kujifanya mnapendana
Jamaa mbona umeongea ukweli mchungu hivyo? Wale wa tafuta hela uache kulalamika huwaoni hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta hela...utapendwa tu......hela ikiisha na mchezo umekwisha
Bonge la wazo yaani! Hongera kijana.Umwa Au kama vipi act kuwa unaumwa ili umsome umpendaye
Nalog off
Hata wangu kwa kweli ananijali sana japo mie ni mstaafuHongera, umeyapatia maisha. Huyo ni mmoja kati ya wanawake wachache sana.
Anakulia 'mingo' tu ipo siku utaelewaInategemea mimi mke wangu ni very supportive ananipiga tafu sana
Yes, kumbe ni wizi wizi tu!