Yes! Kauli ya me ateseke ili ke afurahi na alale vizuri, huo ni ufala.[emoji23][emoji23][emoji23]Hakika, tutapunguza hata rate ya wanaume kufa mapema, tujipende jaman
Hilo ni la msingi sana, vizuri kwa huona hilo.Oa mwanamke anayekupenda,
Wanaume wengi wanawashawishi kwa mali, wadhifa n.k ili kuwawin wanwake waingie nao kwenye ndoa na kuwamiliki pasipo kutengeneza mazingira ya kumfanya mwanamke akupende
Usifike hukoNdomaana mimi hua nasema ningeweza kutoa hii MACHINE GAN [emoji527][emoji533] na kuzifungia kabatini NI BORA SANA
Tubadilike, 1. Jipende 2. Jipende 2.5. Jipende 3. MpendeNondo nzito gizani
Hali gani? Wanawake wengi wa kitanzania wana unafiki na ubinafsi wa hali ya juu ndani yao. Hili nimelithibitisha yapata miaka 3 sasa. Wengi wakiumwa wao wanataka kuhudumiwa na kupewa attention na care, ila akiumwa mwanaume hata kukopa hela hataki.
Kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa nimem save juzi tu hapa. Alikuwa na mke wake, mke alikuwa mfanyakazi mwenye kipato kizuri. Jamaa alikuws anahitaji 500K kwa ajili ya operation. Mke alikana kata kata kuwa na hela.
Imagine jamaa usiku halali ni kuugulia maumivu tu, analia wakati mwingine kama mtoto. Mbaya zaidi huyu mwanamke aliwahi kuumwa mwaka mzima, aliwahi kulazwa miezi miwili, jamaa alitoa jumla ya 5M ya matibabu. Hapo mke alipata hela special kazini ya likizo ya matibabu ila akaficha.
Huyu jamaa alimpigia ndugu yake amsaidie, ila mke wa huyo ndugu yake naye kamuambia mumewe wana majukumu mengi hivyo asitoe hiyo hela. Imagine mtu anateseka halafu wanapigiana mipira hivi.
Mwisho ikabidi anitafute. Nami bila hiyana nikam save jamaa yangu.
Funzo: mwanaume jijali, jipe raha na ujipende mwenyewe KWANZA. Potelea mbali hata wakikuona mbinafsi. 90+% ya mnaowaita wake zenu ni wabinafsi and they are money oriented.
Inasikitisha. Mke wake amenipigia simu ananishukuru(unafiki tu), jamaa kesho anakwenda kufanya OP.
Nimejifunza hapa. Huyu ni mmoja tu, je, wapo wangapi wanakufa kabisa kutokana na ubinafsi na uchoyo wa wanaowaita wake zao? Jibu unalo.!
Yaani ni us#ng tu, samahani nimetumia lugha kali.Na angekufa ,kata kamba huyo huyo mwanamke angezimia,poteza faham
Kabisa, wanaume wabadilikeNdo ukweli
Kabisa ndo hicho pia na mm huwa nawaambia ndugu zangu walionitangulia ageShida ya kuoa shepu na kalio na sio utu na akili.
Wahenga watanisoma
Heri yako kwa kugundua, umechelewa kugundua SIRI hii ila bado hakijaharibika kitu. Hakika umepona na utakuwa salama, karibu sasa kilingeni. Karibu kijana!: mwanaume jijali, jipe raha na ujipende mwenyewe KWANZA. Potelea mbali hata wakikuona mbinafsi. 90+% ya mnaowaita wake zenu ni wabinafsi and they are money oriented.
Hii statement nimeielewa sana na ninaiishi kuanzia mwaka jana.
Ndo hali halisi ilivyoUsifike huko
Umwa ujue uhalisia wa dunia.Hii kweli kabisa mkuu
Heshimu sana mtu anayekuwa na wewe bega kwa bega pale unapokuwa mgonjwa(mgonjwa hasa).Hii kweli kabisa mkuu
SafiKabisa ndo hicho pia na mm huwa nawaambia ndugu zangu walionitangulia age
Most of keAisee hiyo ni roho ngumu mno, yaani mume aumwe niwe na pesa nisimpe ili atibiwe mmh , utakua na furaha gani na pesa zako huku babe,mpenzi,mkata kiu wako akiugulia maumivu?[emoji19]. Yanauzwaga hadi mashamba ili mgonjwa atibiwe akipona tutatafuta vingine.
Note: ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ke wote, do not generalize.