Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
- Thread starter
- #41
Ambae hajawahi kabisa, yaani zoteUkisema bikra fafanua mkuu bikra ya mbele au nyuma, kuna watoto kibao wana tunza mbele nyuma rinda lishafumuka.
[emoji23][emoji23][emoji23] na inawezekana alivyokua anabinuliwa huko alikua anapiga makelele kuliko akiwa na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] acha tu ni zaidi ya zaidiHiyo milage yako imefika double digital ? Au imeshazidi zaidi na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
wapo walioolewa na chungwa na mpaka sasa ndoa zao wamezitunza
Suma Lee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ulivyodanganywa?Si kila msichana hutolewa bikra kwa kulala na mwanaume,wengine zilitoka kwa kufanya mazoezi,kubeba vitu vizito,kuendesha baiskel n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mpaka chuo alikua bado bikra?isee kimsingi unapooa mke asiye na bikra haina tofauti sana na yule mtu aliyejenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara muda wowote unaweza kubomolewa. mimi nimeoa mke wangu akiwa na bikra isee nilitoka naye sekondari tukamaliza chuo mpaka nikamuoa jamani sio siri nafaidi, sasa wale vipochi manyoya niliowatoaga bikra enzi za ujana wakaolewa huko swekeni wanavyonisumbua mpaka kesho ooooh siwezi kukusahau ooooh blaaaah blaaaaah nawaambia pambaneni na hali zenu.Kifupi ukioa mwanamke asiye na bikra ujue umechukua mzigo wa mtu kwahiyo ipo siku mwenye mzigo wake atarudi tu
Kuna mmoja alikuwa anajiamini kama ww ila sa hizi ni baba wa malaya, yaani anawala mpaka wanamwita baba na ndoa hana.isee kimsingi unapooa mke asiye na bikra haina tofauti sana na yule mtu aliyejenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara muda wowote unaweza kubomolewa. mimi nimeoa mke wangu akiwa na bikra isee nilitoka naye sekondari tukamaliza chuo mpaka nikamuoa jamani sio siri nafaidi, sasa wale vipochi manyoya niliowatoaga bikra enzi za ujana wakaolewa huko swekeni wanavyonisumbua mpaka kesho ooooh siwezi kukusahau ooooh blaaaah blaaaaah nawaambia pambaneni na hali zenu.Kifupi ukioa mwanamke asiye na bikra ujue umechukua mzigo wa mtu kwahiyo ipo siku mwenye mzigo wake atarudi tu
Mimi nko pamoja na wewe kwani mara kadhaa niliwahi kukahidi huu ushauri wa kutooa single mother nikaja oa weeeee...nilijuta na ndoa ikafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha