Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,603
- 3,429
Huo ndio ulikuwa mpango wa Muumba, kiufupi ukitaka amani hapa duniani amini tu haupo peke yako kwa mke wako, hata yeye akijitunza wewe amini hivyo ktk akili yako, ili hata ukigundua makandokando yake hautaona jipya.. Jambo kuu la kuzingatia watoto unaolea kwa jasho lako wawe damu yako.