kikubwa nikionacho hapa ni lazima ukubali kwa %100 kuwa BUSHOKE tu,hakuna namna...Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama Dkt. Mwaka kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.
Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.
Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.
Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
Mkuu umeoa single mother,naona unawatetea,mimi naamini wote ni wale wale kasoro majina.There are serious single mothers ambao wako busy na maisha na ni wachapakazi haswaa, wanajielewa na wasiopenda mambo mengi wanajielewa, akikupenda she stick with you pasipo kuwa msumbufu kwako, in some cases no tie at all na ex wao (baba mtoto) in terms of personal life... ole wako ukutane na single mothers ****** mjini hawana shule wala akili ya ujasiriamali ni shida tupuu daily mizinga mara kodi mara ada ya mtoto mara kile and worst hawako faithful
My take is tusi generalize they differ..
Tujipange mara ngapi?Sawa ngoja tujipange
DuhHaina shida kudate na singo mazaz iwapo tu utakua na uhakika 100% kua baba wa mtoto amekufa au amepata ulemavu mkubwa.
Ni kweli mkuu wengine wako vizuri Kiuchumi hawana time ya kupiga mizinga tatizo ni wale waliozaa huku hana ishu yoyote kwao na kwao hawajiweziThere are serious single mothers ambao wako busy na maisha na ni wachapakazi haswaa, wanajielewa na wasiopenda mambo mengi wanajielewa, akikupenda she stick with you pasipo kuwa msumbufu kwako, in some cases no tie at all na ex wao (baba mtoto) in terms of personal life... ole wako ukutane na single mothers ****** mjini hawana shule wala akili ya ujasiriamali ni shida tupuu daily mizinga mara kodi mara ada ya mtoto mara kile and worst hawako faithful
My take is tusi generalize they differ..
Madame B tutasadiana kulea mtoto huenda akaja kuwa kama BakhressaAcheni kufanya hali zetu zizidi kuwa ngumu jamaniiiiii....
Wengine hatunaga mambo hizo
Wengi utoto unawasumbua humu.Wengi humu wamelelewa na hao wanaowaita 'single mothers' baada ya kutelekezwa na baba zao, ajabu leo mmejua kunyoa ndevu ndio mwaja kuwasema humu, sasa sijui kwenye malezi yako ulikua unamuona huyo single mum akifanya mambo ya upuuzi,
Au kwenye ukuaji wako ulimuona baba yako akija kulala hapo kwenu na kuondoka?
Au single mothers wa kipindi hiki ni tofauti na wa kipindi kile?
Umeona eeeee.Madame B tutasadiana kulea mtoto huenda akaja kuwa kama Bakhressa
Ila kweli mkuu..kutwa lawamaHao single mother ukikaa nao muda wote wanalalamika
wanatoa tahadhari kwa sisi ambao hatujaoaNyie mlioanzisha uzi huu mna maana gani
Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama Dkt. Mwaka kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.
Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.
Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.
Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
vizuri lkn uwe single mother usie na gubu na wanaume maana pipe uliitaka mwenyeweBora niwe single mother kuliko kutoa mimba