Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

nilishawahi ku-date na single mother flani amazing! yaani mwanzoni alianza kama vile "Sponsor" mi nikawa nachomoa (maana nina income yangu, na sikutaka masimango mbeleni). Sasa tulipoanza kupiga show aisee mama alikolea baadae akaanza kunipa masharti kama ya "JECHA"
1. mara ooh nataka unisikilize mimi tu na si mtu mwingine yoyote (wazazi wangu included).
2. Ajue napata mshahara bei gani kwa mwezi.
3. Niwe natoa hela ya watoto wake wawili waliopo chuo (ikiwemo ada).
** Manyanyaso yalipozidi nikasubiri kodi inakaribia kuisha nikahama mitaa hiyo, nikahamia kwenye kijumba changu mbweni( ilikuwa hata haijaisha ambapo hapajui) Maisha yanasonga!! SINGLE PARENTS MAJERUHI,,,,,,NOOOOOOOOOO!!
 
Nimefuatilia ukitaka uishi maisha ya raha ya ndoa oa mwanamke aliezalishwa na kuumizwa na kuachwa huyu atakua anajua maisha, pia mvumilivu. Ukitaka umloge mchukue na mwanae umlee na umpende uta-enjoy sana kuliko ambao wa geti kali
Counter example: Kuna yule dada muke sijui wa nani anaishi nchi za watu..Yeye ilikuwaje? Mbona kama hii formula haikufanya kazi?
 
Nimefuatilia ukitaka uishi maisha ya raha ya ndoa oa mwanamke aliezalishwa na kuumizwa na kuachwa huyu atakua anajua maisha, pia mvumilivu. Ukitaka umloge mchukue na mwanae umlee na umpende uta-enjoy sana kuliko ambao wa geti kali
WEKA PICHA MKUU.
 
Hapa umeongea sana kiongozi na kweli kuna uhalisia
Jamaa yangu amefanya hivyo ,yaani ananyenyekewa mpaka anaona kama alichelewa kuoa huyo mwanamke,
Big up kwa uchunguzi wako kiongozi
 
what kind of these stupid arguments, tabia zinatofautiana, hata huyu uliyenaye ndani yaweza kuwa hana mtoto physically lakini aliflush chooni na anaweza kuendeleza tabia zake na mahusiano ya awali. Kama ulizoea kupitia na kupita kwa watu utaendelea kupita na kupitiwa tu kwani laana inakutafuta.
 
Siraha ya mwanamke pekee ni kumpenda tu.....

Juzi nilitaka kuchepuka lakini nikiwa njiani kuelekea eneo LA tukio ghafra nafsi ikaanza kunisuta.....why nimsaliti akati wife anashow love sana kwangu....kiukweli nilirudi home
Shetani aliyetumwa kwako yuko field hajahitimu mafunzo. Kama alipeleka mrejesho huo tayari amedisco.
 
Uyo tayali ni mke wa mtu utajikuta unalea watoto 5 kumbe wote wa mshkaji wake yy alikuja kutafuta uhakika wa mlo kwa mwanae badala ya kuenjoyn unaenjoiwa
 
Nimefuatilia ukitaka uishi maisha ya raha ya ndoa oa mwanamke aliezalishwa na kuumizwa na kuachwa huyu atakua anajua maisha, pia mvumilivu. Ukitaka umloge mchukue na mwanae umlee na umpende uta-enjoy sana kuliko ambao wa geti kali
Mkuu wew kama IS kwa kujifunga mabomu, mwenzio kaacha wew unabeba simply wajua maisha na wavumilivu
 
Acha iwe siri yng tu kwa kinachoendelea huku nilipo juu ya watu hawa.Mama akisikia atanililia sn.
 
Back
Top Bottom