Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Siraha ya mwanamke pekee ni kumpenda tu.....

Juzi nilitaka kuchepuka lakini nikiwa njiani kuelekea eneo LA tukio ghafra nafsi ikaanza kunisuta.....why nimsaliti akati wife anashow love sana kwangu....kiukweli nilirudi home
Inno......nice one [emoji106]
 
We unachukulia maneno ya yule dada. Kwanza kumbuka yule hajaolewa na ndiyo maana alisema hvyo. Ila mtu akishaolewa lazma kuna mpaka na lazima swala la mtoto liwe wazi pande zote mbili.

Na mwanaume lazma atumie hekima pia kujua mama mtoto wake kashaolewa na anapaswa kuheshimu ndoa yake na amweshimu mwanaume mwenzake. Nanyi mjifunze kuwaheshimu wanaume waliowaoa wanawake mliozaa nao
Kweli kabisa[emoji120] [emoji106]
 
Sio wote sawa. Sasa utajuaje huyo umayemuoa si kati ya hao wasioachana na mahawara zao? Jamaa yangu kazaa na wanawake watatu tofauti kabla hajaoa.... mpaka kesho anawatafuna wazazi wenzie wakati wowote akiwahitaji... tena bila shuruti!
Ukimchunguza sana bata wala hutomla...na hao wanawake anao watafuna huwez jua ni uongo gani kawapa pengine wote kawaambia 'pale nilipooa nilikosea sana wewe ndo ulikuwa mwenye ile nafasi,basi tu Nakupenda sana'...n at the same time hao wanawake wanajikuta hawaingii kwenye committed rship sababu ana hope ipo siku atarudi tu kwangu sababu tuna mtoto.
 
Ukimchunguza sana bata wala hutomla...na hao wanawake anao watafuna huwez jua ni uongo gani kawapa pengine wote kawaambia 'pale nilipooa nilikosea sana wewe ndo ulikuwa mwenye ile nafasi,basi tu Nakupenda sana'...n at the same time hao wanawake wanajikuta hawaingii kwenye committed rship sababu ana hope ipo siku atarudi tu kwangu sababu tuna mtoto.
Wawili kati yao wameolewa..... yani wanatoka kwa waume zao wanamletea jamaa mbuchuchu aimege atakavyo
 
Huo ndo ukweli halisi,ukiona single mother fuska in marriage huyo hajielelew
 
Ila kuna ma single mother watamu balaa, most of (30 - 45 of age) alaf ukute light skinned kiana alaf kajaa jaa & financially independent. Unaweza ukawa na a very rough day at work ila ukiwa nae unasahau kabsa.

Daaah acheni tu. Hawa madogo wa kike ki ukweli ni pasua vichwa sanaaa. Unakuta kazini stress tupu ukirudi nyumbani kero tena. Daah
 
Kumwoa mwanamke mke aliyezaa ni kuvaa mabomu ambayo yamekua expayad mda wowote yanalipuka
 
Mh sijui hii vita humu kama itakaa iishe, ila iwe fundisho Kwa wadada wote ambao bdo kuzaa wawe makini kwenye mahusiano yao. Wasiishi kama wanyama Waamue hatma zao wenyewe kama kuzaa wazae Kwa malengo na makusudi sahihi
 
Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama Dkt. Mwaka kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.

Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.

Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.

Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
images

images


images


images
 
"Kaa mbali na Simu Yake unaweza kuta unajua MTU au unajiua...
"" usipende kuingilia mambo UA mtoto wake kama vipi mengine potezea namaanisha usimfuate fuate mtoto atakudisapoint tu na hutaweza kuvumilia kama ambavyo ingekuwa mwanao..
"" ndugu wa mazazi aliyezaa naye ni ndugu yako kiaina kuwa Tayar..

"" jiandae kisaikolojia ugomvi kuhusu mtoto unaweza tokea any time
 
Back
Top Bottom