and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,411
- 40,103
Uwe mtu wa ibada sana
Mi naona amna tatzo saa nyngne wanawaonea tuu mbon kuna wanawake awajazaa na hawashikiki tabia zao hii mada iishe maana kila siku uzi mpya umuUmeona eeeee.
Sema mnatukata sana maini
kiukweli unahitaji busara ya hali ya juu kuishi na SINGLE PARENT (both side)
kiukweli unahitaji busara ya hali ya juu kuishi na SINGLE PARENT (both side)
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhh!kiukweli unahitaji busara ya hali ya juu kuishi na SINGLE PARENT (both side)
What do you mean? Kua single mom's wanatongoza wanaume au? Kitu kimoja ujue hakuna mwanamke mwenyewe akili Duniani kama single mama, kwanza anapitia changamoto nyingi, so anajifunza kutokana na changamoto hizo... Wengi wanaweka akili zao kwa watoto wao sio mambo ya kipuuzi kama mapenzi. Kifupi anaamini hakuna anaeweza kumlea mwanae kaka yeye mwenyewe... Am one of them. Siku nyingine fikiri kabla ya kuropoka.Design ni kama single mothers huwa wanalazimisha au kuomba watu watoke nao hivi. How come I ain't never been that lucky? Damn y'all single mothers.
Aisee kumbe bado Kuna wanaume wenye akili fupi hivi Duniani? [emoji23][emoji23][emoji23]. nadhani mnawaza zaidi kua mtabebeshwa mzigo wa malezi ndo maana. Umaskini wa fikra huo ndugu zangu..Hata hivo nataka mjue hakunaga single mom aliekaa tu ndani. Wengi wanachakarika mitaani ili watoto wapate mahitaji yao muhimu na wasiwe wapweke. Tunaishi ktk mazingira hayo na tunawaona.. Nikiwa mmoja wao nipo kuwatetea na kuwakingia kifua.. Sisi sio watu wa mchezo mchezo... Tunasimama hasa tunajituma kiukweli kweli..bora kwenda kulamba wale watoto pale mori kuliko hawa ndugu
Sio wote mkuu mimi tokea niachane na mwanamke niliyezaa naye nilisema sitoweza kumrudia maishani mwangu mote, wengine wakiachana huwa wanaachana moja kwa moja.Haina shida kudate na singo mazaz iwapo tu utakua na uhakika 100% kua baba wa mtoto amekufa au amepata ulemavu mkubwa.
hii ni kwa single mother tu!kiukweli unahitaji busara ya hali ya juu kuishi na SINGLE PARENT (both side)
Huwa hawavumiliki hawa mpk waliachwa ujue ni vimeo wengi wao..!"Kaa mbali na Simu Yake unaweza kuta unajua MTU au unajiua...
"" usipende kuingilia mambo UA mtoto wake kama vipi mengine potezea namaanisha usimfuate fuate mtoto atakudisapoint tu na hutaweza kuvumilia kama ambavyo ingekuwa mwanao..
"" ndugu wa mazazi aliyezaa naye ni ndugu yako kiaina kuwa Tayar..
"" jiandae kisaikolojia ugomvi kuhusu mtoto unaweza tokea any time
Mi nafikiri hawa singles parents inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu wanakuwa very lonely and desperateWhy date a person with a pre started family.. wakati unaweza ukaanza a frsh family with another..
Wakati mwingine msitulaumu sana hata nyinyi wanawake ni chanzo cha haya yote!Hivi nani anaesababisha watu kua single mothers kama sio nyinyi wanaume?!!!!...
Kumbukeni mna dada,mna mashangazi,mtazaa watoto wa kike..usilopenda ndgu yako afanyiwe usimfanyie mwana wa mwenzio!
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote pia ni wabishi sanaWengi wao ni wababe kupitiliza
sure i see single mothers wise kichwani na nawakubali sana..isee there stuglles na wanajua ku care maanawanajua na stage ya utoto kwaohaipo...kuna jirani yangu ni mempenda kweli ni single mother anajitambua sana...japo pia mzazi mwwenzangu ni single mother pia namkubali nakumehshimu...sijaamua wala kujua hatma yangu ya mausiano ni complicated sitaki kudandia au kukurupuka najipa muda...ila single mothers respect to you all....What do you mean? Kua single mom's wanatongoza wanaume au? Kitu kimoja ujue hakuna mwanamke mwenyewe akili Duniani kama single mama, kwanza anapitia changamoto nyingi, so anajifunza kutokana na changamoto hizo... Wengi wanaweka akili zao kwa watoto wao sio mambo ya kipuuzi kama mapenzi. Kifupi anaamini hakuna anaeweza kumlea mwanae kaka yeye mwenyewe... Am one of them. Siku nyingine fikiri kabla ya kuropoka.
Unajidanganya labda umkute single mama ambae hajitambui kama wewe. Single mama tuko busy utatupata wapi Muda wote tunatafuta hela za kuspend na watoto wetu. Maybe unakutana na masingle mama Wanaolelewa na baba zao majumbani... Sio sisi tunavuja jasho kutafuta hela.Mi nafikiri hawa singles parents inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu wanakuwa very lonely and desperate