U see what!!??...
Thank u.Nimekubali hii.
Watu waliokuwa na mahusiano ya kimapenzi bila kuzaa mara nyingi huwa wakiachana kisha wakaja kukutana baada ya muda wanarudia game. Na waliozaa mtoto kuachana ndiyo kabisaa ni ngumu sana kuachana labda mmoja awe marehemu. Otherwise, ipo siku watakumbushia enzi tu awe baba au mama. Cha msingi ni mtazamo wa mtu mmoja mmoja. Watu wanaoa mabikira ila kati ya wanae utakuta houseboy au mchepuko ana wa kwake. Haya mambo hayaangalii single mothers wala fathers hata wasio single m/f's moyo unahitajika coz inategemea waliachana vipi. Mwanadamu kumuelewa inahitaji uyatoe maisha yako.Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama BODI YA SUKARI kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.
Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.
Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.
Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
Hahahahaaa....Busara na uvumilivu wa mshumaa unahitajika
Hahahaha.** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
**Single mothers** Hawa watu weka mbali bhanaa....
baada ya kujitosa mwaka 2014. ukweli mwanzoni nilihisi kama NDIO yule wa (BONNY MWAITEGE)et mke mwema anatoka kwa bwana..) PICHA lili anza... saa6 usiku BABA wa mtoto anapiga simu! ukiuliza vp mbona sm usiku alafa kw saa6 mpaka saa7 JIBU.. anaulizia maendeleo ya (MWANAE) Nilitumia sana PANADO mpaka ilinibidi nitafute MSHAURI wa maswala ya NDOA na SAIKOLOJIA
Ha ha ha hiyo nayo pointBora kukamata fom 4 failures ili umfunde mwenyewe mauno