Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

Hatari sana wandugu maana hawa Single Parents ni kama wanakuwa wana "Psychological Problema" huko watokako.
 
mada haijataja popote single mothers yeye kasema SINGLE PARENTS. Punguzeni mihemko
 
kiukweli wana mapenzi moto moto na kama haupo vizuri kiuchumi utapewa hata "pocket money" ili KUKUPUMBAZA ila siku kikinuka mjomba jiandae KUCHAMBWA mchana kweupe. Yaani UKOO wenu mzima utachambwa ndani ya Sekunde 60 ( Dakika 1).
Kweli kabxa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wengi humu wamelelewa na hao wanaowaita 'single mothers' baada ya kutelekezwa na baba zao, ajabu leo mmejua kunyoa ndevu ndio mwaja kuwasema humu, sasa sijui kwenye malezi yako ulikua unamuona huyo single mum akifanya mambo ya upuuzi,
Au kwenye ukuaji wako ulimuona baba yako akija kulala hapo kwenu na kuondoka?

Au single mothers wa kipindi hiki ni tofauti na wa kipindi kile?
Nimekubali hii.
 
Wakuu katika mahangaiko ya maisha huenda ukaangukia kuanzisha uhusiano na Single Parents, watu hawa inabidi uwe na AKILI YA ZIADA kama BODI YA SUKARI kuwamudu maana wengi walishaumizwa kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kusukumiwa lawama za aliyepita kabla.

Wengi hujaa malalamiko hasa wakati wa kusali.

Pia, tahadhari na huyo mtoto uliyemkuta, usimuonyeshe ukauzu mpaka mzazi wake (Baba au Mama) akashtukia, jitahidi kumpenda kiasi (kinafiki) ili ufanikishe lengo lako.

Jitahidi kutokumbushia yaliyopita kabla ya wewe kuanza nae uhusiano, maana ni kama utakuwa unamsimanga.
** Mengine atajazia Miss Chagga maana ana uzoefu.
Usitukane mamba kabla hujavuka mto, na pia hujafa hujaumbika
 
Alaf you have to show love yakutosha kwa mtoto wake, vizawadi kwa wingi, outing za kutosha....
Kama una kipato kizuri mtoto unampeleka shule ya bordin mbali huko anakuwa anakuja likizo tu mwezi wa 12! Kuepusha mgogoro
 
Back
Top Bottom