Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,476
- 2,651
Wale wanaoshangilia wamekodishwaNdio maana huwa nasema awamu hii ni popuilar miongoni mwa watu wenye uwezo mdogo wa kupima na kutafakari mambo ukiacha wale wanufaika wa moja kwa moja wa utawala huu bila kusahau wasaka vyeo/uteuzi.
Mtu alieamua kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo machache anajilinganishaje na wenzake waliona umuhimu wa kugawa kidogo kilichpo kwa kila sekta?
Na wasiojielewa wanashangilia wanasahau hata mishahara kwa mwaka wa nne ameshindwa kuongeza.