Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,888
- 143,985
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaona ufahari kutukamua kodi na kuwapelekea hela mabeberu huku sisi walipa kodi hata huduma za msingi kama maji,afya na elimu ni duni kabisa!!!Tabu na shida za wananchi kunawatanzaia wachache wanaziacha ziendelee kuwa tabu, ili ziwe ahadi za kwenye kampeni za uchaguzi.
Kama babaye mwenyewe kakalia kuti kavu ndani ya ccm 2020 huyo mtegemea mbeleko atajishikia wapi?Makonda anatafuta Jimbo kwa nguvu
kwa hiyo ndege siyo maendeleo ya wananchi? Na pia asiseme kwanini mpaka sasa haijajengwa sababu hatoi hela mfukoni mwake !!
awamu IPI iliyo kuridhisha kiufanisi?? Katika kazi zake tuanzie hapoUkiwazia sana uongozi huu unaoendesha mambo kitoto unaishia kusema alhamdulilah maana maandiko yana sema shukuruni kwa kila jambo (hapo inamaanisha hata haya ya kijinga tushukuru) maana pengine yameruhusiwa na Mungu tupate somo LA kuijua ccm vizuri.
Na tukiijua vyema ccm hasira za kuitoa zitaota mioyoni mwetu na ikibidi kwenye misuli yetu kama itabidi nguvu zitumike.
Tatizo mwenye nchi ameigawa nchi vipandevipande, mwananchi kwake ni yule aliyeichagua CCM, mtanzania kwake ni yule aliyeichagua CCM, mzalendo kwake ni yule anayeunga mkono kila kitu, mwenye mawazo mbadala anatumika na mabeberu.
Anaetakiwa kusikilizwa ni kiongozi anayetokana na CCM, mbunge wa upinzani aliyechaguliwa na wananchi anapoomba jambo lolote la kimaendeleo au wananchi waliochagua upinzani wanapewa majibu ya kashifa,au anapotaka kusaidia jambo hilo linageuzwa na kuwa la kiccm ccm kwa kumtaja mwanaccm yeyote kuwa ndiye aliyeomba kana kwamba wananchi waliochagua upinzani na viongozi wanaotokana na upinzani hakuna shida wanazompelekea.
Tulia mzee baba zile flights ni za biashara tayari zimeshatengeneza faida dola mil .14..Ndio maana huwa nasema awamu hii ni popuilar miongoni mwa watu wenye uwezo mdogo wa kupima na kutafakari mambo ukiacha wale wanufaika wa moja kwa moja wa utawala huu.
Mtu alieamua kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo machache anajilinganishaje na wenzake waliona umuhimu wa kugawa kidogo kilichpo kwa kila sekta?
Na wajinga wanashangilia wanasahau hata mishahara kwa mwaka wa nne ameshindwa kuongeza.
Mwenza naye anataka jimbo.Makonda anatafuta Jimbo kwa nguvu
Ufanisi katika nyanja gani unayomaanisha?awamu IPI iliyo kuridhisha kiufanisi?? Katika kazi zake tuanzie hapo