Ukisoma tweet hii ya Mnyika,utaweza pata jibu ni kwanini awamu hii imeweza kununua hizo ndege na imenunua ndege kwa kuathiri namna gani mambo mengine

umeandika pumba miradi mikubwa haijifichi wewe
Na pia kazi za magufuli zimekuwa ni content kwa vyombo vya habari na lazima ujue media zimetizama ni ni mahitaji ya wadau wake , watu wamekua wakitega sikio kujua mh.atafànya nini Leo ? Hivyo media lazima ipite na upepo huo

Pia Uhuru Wa vyombo vya habari umeshamiri kwa kiasi kikubwa kulinganisha na zama zilizopitwa ambapo Uhuru Wa habari uliminywa
We nae hovyo kabisa
 
Hivi hamuwoni aibu kushabikia haya ya viongozi wenu!!!! Iweje walikaa kimya tangu na hawakudai pesa.. ni kama walisubiri mwakani kujipatia kiki ya uchaguzi.. bora wangelitangaza tangu sio kulikalia kama siri..

Ndo mukyome kwa upinzani zero fikra
We bogus kabisa
 
Mkuu hapo umenena, hawa jamaa hawakuwa na lengo zuri kuhusu Raisi wetu mpendwa kutoka siku anaapishwa, wao waliamua kupinga kila kitu ili nchi isitawalike kwa kuinda vikundi mitandaoni kupinga kila kitu, ndipo mzee akaona aaah, kumbe ndio hivyo akaamua kuwabana kila sehemu, matokeo yake wanasiasa wengi wameambulia kulala selo na wengine kuambulia vichapo, mamlaka iliyo kuu huwezi kushindana nayo hata ufanye nini, ndio maana hivi sasa wapinzani wanaonekana hawana hoja kabisa.
Magufuli ni Raisi mzuri Sana kwa wakati tulionaosasa. Wapinzani walianza nae vibaya.
Wapinzani hawana sababu ya kumlaumu Magufuli. Kwani kuanzia siku yakuapishwa wapinzani walisema hawamtambui. Sasa utafanya vipi kazi na watu wasio kutambua?
Km tuna kumbukumbu sahihi baada ya kuapishwa Magufuli kila alichofanya alikutana na matusi makali na kebehi. Vitu ambavyo hatukuwah kuviona wakifanyiwa watangulizi wake.
Angewachekea naamini asingekuwepo madarakani hadi sasa. Lengo lilikuwa ni kuiangusha serikali iliyopo madarakani kwa mikelele na maandamano.
Ndipo chuma kikasema 'Sijaribiwi!' Tunahitajii upinzani wenye hoja km kipindi Cha kina Dr Slaa. Upinzani wa kuijenga Tanzania.
 
Nimeshaelewa maana ya kujimbwafai mbwafai lakini lawama ni kwake tu ataatuambieje
 
Kuongeza mishahara ni jambo jema lakini kumbuka kuwa miradi mikubwa inayoendelea ina lengo lisiloonekana la kupandisha hiyo hiyo mishahara.
Wateja mliowalenga wa hiyo miradi sio wananchi au watumishi? Mtapata vipi kipato kama wananchi wakishindwa kusafiri kwa hizo ndege kwa sababu ya ukosefu wa fedha?
 
umeandika pumba miradi mikubwa haijifichi wewe
Na pia kazi za magufuli zimekuwa ni content kwa vyombo vya habari na lazima ujue media zimetizama ni ni mahitaji ya wadau wake , watu wamekua wakitega sikio kujua mh.atafànya nini Leo ? Hivyo media lazima ipite na upepo huo

Pia Uhuru Wa vyombo vya habari umeshamiri kwa kiasi kikubwa kulinganisha na zama zilizopitwa ambapo Uhuru Wa habari uliminywa
Mkuu unaonekana una akili sana.
 
Kuna ujinga ujinga hapa! Yaani ugomvi ni nini? Kwamba Mnyika aliomba kwanza na sasa Makonda kaomba na kuahidiwa? Au ndege zisinunuliwe ili Hospitali ya ubungo ijengwe kwanza. Ni tweet za kitoto kutaka mtaji wa kisiasa.

Kama uliomba, hukuitikiwa, akaja mwingine akaomba hilo hilo na akaitikiwa, Shukuru, Wananchi wamepata, au lazima Mnyika atajwe? Yaani nalo ni jambo la kusema nilikuomba zamani! Ununuzi wa ndege siyo hata jambo la kujadili. Miaka yote ndege hazikununuliwa na hospitali haikujengwa.

Ww nawe umeandika ujinga na kukurupuka
 
Ndio maana huwa nasema awamu hii ni popuilar miongoni mwa watu wenye uwezo mdogo wa kupima na kutafakari mambo ukiacha wale wanufaika wa moja kwa moja wa utawala huu bila kusahau wasaka vyeo/uteuzi.

Mtu alieamua kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo machache anajilinganishaje na wenzake waliona umuhimu wa kugawa kidogo kilichpo kwa kila sekta?

Na wasiojielewa wanashangilia wanasahau hata mishahara kwa mwaka wa nne ameshindwa kuongeza.
Sisi wakulima nani anatuongeza mshahara huu mwaka wa 40 sasa
 
.....Kila mbunge anasema jimbo lake linashida...anaiomba serikali ilete maendeleooo...

WATANZANIA tunachangamoto ya SIASA na uhitaji wa maendeleo ya jamiii bila kujali itikadi ya chama chochoteee... mawazo ya kwamba maendeleo yanaletwa na chama fulani ni hatari kwa jamiii nzimaaa.. Inakuwaje hadi kiongozi serikalini apite ndo wananchi watoe changamotooo ama waoneshe wamefikia wapi ?

I hate POLITICS
Nachoona hata kama sehemu fulani hakuna mbunge serikali ndo inaleta maendeleo wala sio mbunge. Wangepunguzwa maana naona kama ni wengi sana bungeni.
 
Hivi Pascal wananchi hatuwezi kupendekeza wabunge wapungue huko bungeni maana Serikali ndo inaleta maendeleo wala sio mbunge. Hata kama hiyo sehemu haina mbunge, serikali inajua wananchi hao mahitaji yao kama maji, barabara, Hospitali etc,Sasa mbona wabunge wengi bungeni wangepungua tuka save hizo pesa zifanye vitu vingine.
 
Back
Top Bottom