Ukisoma tweet hii ya Mnyika,utaweza pata jibu ni kwanini awamu hii imeweza kununua hizo ndege na imenunua ndege kwa kuathiri namna gani mambo mengine

Siasa za bei rahisi ndizo zinazokwamisha kukua kwa upinzani. Siasa za mitandaoni, za kina Zitto Kabwe n Maria Sarungi.

Awamu hii ipo very practical, kuendelea kutumia majukwaa kama facebook na twitter ni kujaza maji kwenye tenga.
 
Kuna ujinga ujinga hapa! Yaani ugomvi ni nini? Kwamba Mnyika aliomba kwanza na sasa Makonda kaomba na kuahidiwa? Au ndege zisinunuliwe ili Hospitali ya ubungo ijengwe kwanza. Ni tweet za kitoto kutaka mtaji wa kisiasa.

Kama uliomba, hukuitikiwa, akaja mwingine akaomba hilo hilo na akaitikiwa, Shukuru, Wananchi wamepata, au lazima Mnyika atajwe? Yaani nalo ni jambo la kusema nilikuomba zamani! Ununuzi wa ndege siyo hata jambo la kujadili. Miaka yote ndege hazikununuliwa na hospitali haikujengwa.
 
Ishu sio kuomba halafu akapewa ishu hapa ni aina ya maneno aliyotumia makonda wakati anaomba alisema wabunge hao hawafanyi kitu chochote,kwahiyo kabla ya kuomba alianza kuchafua wenzake akawatumia kama ngazi halafu akaomba yeye.

Mh Rais Kama kweli aliombwa na Mh wabunge au madiwani walishawahi kupitisha halafu hakutoa jibu then Makonda akaomba na hapo hapo akapewa hii inafikirisha sana maana Muwakilishi wa raia hajasikilizwa lakini mteule amesikilizwa.
Kuna ujinga ujinga hapa! Yaani ugomvi ni nini? Kwamba Mnyika aliomba kwanza na sasa Makonda kaomba na kuahidiwa? Au ndege zisinunuliwe ili Hospitali ya ubungo ijengwe kwanza. Ni tweet za kitoto kutaka mtaji wa kisiasa.

Kama uliomba, hukuitikiwa, akaja mwingine akaomba hilo hilo na akaitikiwa, Shukuru, Wananchi wamepata, au lazima Mnyika atajwe? Yaani nalo ni jambo la kusema nilikuomba zamani! Ununuzi wa ndege siyo hata jambo la kujadili. Miaka yote ndege hazikununuliwa na hospitali haikujengwa.
 
awamu IPI iliyo kuridhisha kiufanisi?? Katika kazi zake tuanzie hapo
Kila awamu imefanya mambo makubwa.Awamu hii imeamua kutumia Vyombo habari kila inapofanya jambo lolote.Naamini awamu zingine zingine zingetumia mtindo huu wa kusitisha matangazo mengine na muda mwingi kuitangaza serikali ungeona maajabu yalifanywa na serikali zilizopita.Lakini pia kumbuka tuliambiwa matangazo Live bungani ni gharama,Lakini kuitangaza serikali siyo gharama.
 
umeandika pumba miradi mikubwa haijifichi wewe
Na pia kazi za magufuli zimekuwa ni content kwa vyombo vya habari na lazima ujue media zimetizama ni ni mahitaji ya wadau wake , watu wamekua wakitega sikio kujua mh.atafànya nini Leo ? Hivyo media lazima ipite na upepo huo

Pia Uhuru Wa vyombo vya habari umeshamiri kwa kiasi kikubwa kulinganisha na zama zilizopitwa ambapo Uhuru Wa habari uliminywa
 
Ukiwazia sana uongozi huu unaoendesha mambo kitoto unaishia kusema alhamdulilah maana maandiko yana sema shukuruni kwa kila jambo (hapo inamaanisha hata haya ya kijinga tushukuru) maana pengine yameruhusiwa na Mungu tupate somo LA kuijua ccm vizuri.
Na tukiijua vyema ccm hasira za kuitoa zitaota mioyoni mwetu na ikibidi kwenye misuli yetu kama itabidi nguvu zitumike.
Una hoja za msingi sana katika haya uliosema.
 
Pole sana mkuu,naona unaweweseka sana,tulia dawa iingie ,jpm pika kazi baba
Ndio maana huwa nasema awamu hii ni popuilar miongoni mwa watu wenye uwezo mdogo wa kupima na kutafakari mambo ukiacha wale wanufaika wa moja kwa moja wa utawala huu.

Mtu alieamua kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo machache anajilinganishaje na wenzake waliona umuhimu wa kugawa kidogo kilichpo kwa kila sekta?

Na wasiojielewa wanashangilia wanasahau hata mishahara kwa mwaka wa nne ameshindwa kuongeza.
 
Tabu na shida za wananchi kunawatanzaia wachache wanaziacha ziendelee kuwa tabu, ili ziwe ahadi za kwenye kampeni za uchaguzi.
Wilaya ya Ubungo wameitengeneza wao wenyewe na hawakuombwa kuitengeneza, walisahau kama ilitakiwa.iwe na hospitali ya Wilaya? Mambo mengine ni aibu kuyasema hadharani. Ina maana ikiundwa Wizara mpya mpaka Waziri naye aombwe.ndio ateuliwe? Mahakama ya Wilaya nayo iombwe?
 
Ndio maana huwa nasema awamu hii ni popuilar miongoni mwa watu wenye uwezo mdogo wa kupima na kutafakari mambo ukiacha wale wanufaika wa moja kwa moja wa utawala huu.

Mtu alieamua kuelekeza fedha nyingi kwenye maeneo machache anajilinganishaje na wenzake waliona umuhimu wa kugawa kidogo kilichpo kwa kila sekta?

Na wasiojielewa wanashangilia wanasahau hata mishahara kwa mwaka wa nne ameshindwa kuongeza.
Kati ya wapinzani msiojielewa wewe jamaa ni nambari moja! Badala ya kunadi sera za chama chako wewe kila siku ni kulakamika tu !

Goja nikuambieni kama ukikuwa hujui ,lawama zikizidi sana huzaa balaa, unapolaumu unajitengenezea mazingira magumu ya kufanikiwa , lawama hukatisha tamaa na mwisho wake huwa mbaya mojawapo mtu anayelaumu sana maishani mwake huishi kupata stress ,na kushindwa kufanya mambo ya msingi!

Hivyo kama mwana JF jaribu pia kujizuia kutawaliwa na neno lawama kwani huwa ni mkosi hata ktk maisha yako binafsi, lawama ni mojawapo ya kwanini hatufanikiwi maana tunatumia muda mwingi kwa hamna matokeo yake unajawa na sumu tu
 
Haya ni mawazo yako!!
 
Magufuli ni Raisi mzuri Sana kwa wakati tulionaosasa. Wapinzani walianza nae vibaya.
Wapinzani hawana sababu ya kumlaumu Magufuli. Kwani kuanzia siku yakuapishwa wapinzani walisema hawamtambui. Sasa utafanya vipi kazi na watu wasio kutambua?
Km tuna kumbukumbu sahihi baada ya kuapishwa Magufuli kila alichofanya alikutana na matusi makali na kebehi. Vitu ambavyo hatukuwah kuviona wakifanyiwa watangulizi wake.
Angewachekea naamini asingekuwepo madarakani hadi sasa. Lengo lilikuwa ni kuiangusha serikali iliyopo madarakani kwa mikelele na maandamano.
Ndipo chuma kikasema 'Sijaribiwi!' Tunahitajii upinzani wenye hoja km kipindi Cha kina Dr Slaa. Upinzani wa kuijenga Tanzania.
 
Ninyi ndo mnamjaza ujinga huyo magufuli wenu,kwani pesa za kujenga hospital zinatoka mfukoni mwake? au wapinzani hatulipi kodi? Huyu magufuli wenu ni kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea,Bahati mbaya mnaongoza wajinga wajinga wengi
 
Hivi hamuwoni aibu kushabikia haya ya viongozi wenu!!!! Iweje walikaa kimya tangu na hawakudai pesa.. ni kama walisubiri mwakani kujipatia kiki ya uchaguzi.. bora wangelitangaza tangu sio kulikalia kama siri..

Ndo mukyome kwa upinzani zero fikra
 
Hamjawajua? Haya maigizo huwa yanapangwa pembeni, we sema hivi, mi nitasema vile. Ni utoto sana na unafanyika kutafuta political mileage and popularity. Theatrics na drama za kishamba.
Movie ya jiwe na bashite wajanja tumeishtukia. Sema vile nami nitajibu hivi.
 
Je watumishi kuongezewa mishahara, sio jambo la muhimu?

Back
Top Bottom