Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
mi huwa sisamehi haswa unikorofishe nikiwa sijalewaThis is too deep...!!!
mi huwa sisamehi haswa unikorofishe nikiwa sijalewaThis is too deep...!!!
i normally do this yaan ukinifanyia abrakadabra nitatapika nitaumia nitalia nitajikata nitoke damu halafu baada ya hapo hata ugongwe na gari hapo sina habari kabisa nina rage hasira temper uwii ila napenda utaniiiii mcheshi nina hurumaaa a wale wanaoniumiza ni wale ninaowapenda na kuwaheshimu..... mtu wa njiani tunapigana uwe wakike ama w kiume tunamalizana ha haha nina ngeu km mwanaumeNa kisasi si lazima kiwe cha kujeruhi ama kukomoa na kuumiza lkn hata kukaa kimya na kumfuta kichwani mwako kabsaaaaaa alokuudhi na kukudharau,umeongea Jambo km unaona ninayopitia.msamaha limekuwa Jambo na fimbo kwangu
Husamehi hata madogo?...
Hivi hatimaye unafanyaje ili kurejesha afya ya nafsi.? Kuna mambo yanauma forever dah!!Nimeamua kuishi hivyo na maumivu sina jinsi jambo limetokea zaidi ya miaka 16 lkn maumivu yake utafikiri ni jana.Siwezi kwenda kinyume na imani yangu na nimejitahidi kusamehe nimeshindwa kabisa.
Juma NNE nmetoka kushirik katka mtego was utumbuaj majipu job nilichomekewa nikashtuka sikuwa na moyo was hurumaKama unaweza kulipa kisasi lipa, tena tumia kiwango cha juu kabisa cha adhabu ambacho unaweza kutoa ili mtu huyo asirudie tena kusumbua watu wengine
Sorry Mulhat Mpunga nilikuwa najua kuwa ni jinsia ya kiume siku zotei normally do this yaan ukinifanyia abrakadabra nitatapika nitaumia nitalia nitajikata nitoke damu halafu baada ya hapo hata ugongwe na gari hapo sina habari kabisa nina rage hasira temper uwii ila napenda utaniiiii mcheshi nina hurumaaa a wale wanaoniumiza ni wale ninaowapenda na kuwaheshimu..... mtu wa njiani tunapigana uwe wakike ama w kiume tunamalizana ha haha nina ngeu km mwanaume
Which highest are referring to? Revenge only leads to more revenge. Cant you learn from the war between Israel and Arab nations?REVANGE IS AIMING FOR THE HIGHEST!
Wengine hao wajuaji ndio mbumbu wa mwisho kabisa.....!!!hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile , hii inahusika na kulipa kisasi![]()
Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe!msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni
Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo
Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe hasameheki? Na je kama ni mbabe mjuaji na dhulumati mkubwa?je kama anakuletea dharau kwa hali yoyote ile hata uwe msamehevu kiasi gani? Usiishi na maumivu! lipa au lipiza..!
Msamaha wako usikushushe msamaha wako usikufanye kiumbe dhaifu na mnyonge, utu wako ni muhimu heshima na dhima yako ni vitu vya kulinda na kuzingatia mno...ukishindwa kabisa kusamehe ukizidiwa na viwango vya uvumilivu wa kibinadamu usiumize roho yako andaa kisasi
Kama ilivyo kwa msamaha ile nafuu unayoipata kwenye kusamehe basi ndivyo ilivyo hata kwenye kisasi! Kisasi humpa mtu faraja na amani ya moyo huridhika kuona amefanya jambo baya kwa mtu mbaya
Tunaishi na wajuaji wengi kwenye jamii tunaishi na watu wanaojiona wao ni bora kuliko wengine wao ni zaidi kuliko wewe...wao ndio wanaijua pesa kuliko wewe. . . . usimpe nafasi mtu wa namna hii atambe...ni lazima umfundishe ajue kuwa maisha yana pande nyingi...kisha mfundishe kwa maumivu makubwa maumivu atakayodumu nayo mpaka kifo
LAKINI maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua...Fanya kile kitakachokupa nafuu ya rohoni na afya ya akilini kwakuwa uamuzi ni wako na mwisho utabaki wewe kama wewe ....visasi misamaha na malipizi vitabaki kuwa uamuzi binafsi kutokana na imani yako hofu yako na huruma yako
Nilidhani Mshana ana imaqni ya Kikristo,maneno yake yanakataa.Imeandikwa kisasi ni cha Bwana.Chagua kuwa wa Yesu au wa Shetani.Ninakushauri mchague Yesu,samehe.Kuna wakati inabidi tuangalie na upande mwingine kwakuwa msamaha ni kitu cha kiimani zaidi sasa mtu asiye na imani umwambie asamehe atakushangaa sana BTW kuna baadhi ya imani zinahamasisha visasi, mfano kwenye satanism hawajui kitu kinachoitwa msamaha![]()
Hwasha mimi ni Mkristo kamili ninayejivunia imani yangu na ninayejua nguvu ya msamaha....lakini maisha yana pande nyingi na imani tofautiNilidhani Mshana ana imaqni ya Kikristo,maneno yake yanakataa.Imeandikwa kisasi ni cha Bwana.Chagua kuwa wa Yesu au wa Shetani.Ninakushauri mchague Yesu,samehe.
Pole sanaaa, sikuwa na nia ya kujua tatizo lako, ila nilitaka tupate mfano unaweza kutufanya tujifunze, juu ya kusahau na kusamehe. Hilo ni tatizo kubwa sana na kitendo husika kingeweza kukusababishia kifo pia, kwani kumuwekea mtu sumu ni kitendo cha kinyama na cha kiuwaji kabisa lakini Mungu mwena unaishi.
Shida kubwa ni kwamba sasa huwezi pata mtoto na mambo mengine yanayoweza tokana na tatizo lenyewe, lakini wapo wengine hawawezi pata watoto pia na hawana mtu wa kumlaum, ila wanatatizo sawa nawe. maumivu ya moyo wao ni sawa na wako yaani kukosa mtoto, japo yako yanaweza kuwa makubwa zaidi kwa sababu unaye wa kumnyoshea kidole, kwamba kama sio yule X ningekuwa na watoto.
Tutafakari je ambao hawana mtoto na hawajui nani aliyesababisha na pengine madaktari wamewaambie hawawezi kuzaa milele, watamnyoshea nani kidole juu ya hali yao? wengine wamefanikiwa kuzaa watoto hawajiwezi na ni mateso kwao watanyosha vidole vyao kwa nani?.
Tafaakri pia Maumivu unayopata kwa kumshikiria moyoni, huyo aliyekujeruhi, unafikiri naye anayapata? nani anayeumia kila siku kama sio wewe?, nakwa bahati mbaya sana kwa sababu mwili na moyo havikumbiwa kubeba baadhi ya mizigo, kama dhambi,chuki, hasira, visasi, wivu na husuda, kitakochotokea ni magonjwa mwilini. magonjwa ya tumbo(vidonda), pressure, magonjwa ya moyo, maumivu ya kichwa nk.
Hii ni kwa sababau mwili umetwishwa mzigo usioweza beba, Mungu hakuumba mwili kubeba hayo na ndiyo maana unapata maumivu. ili ujue hii ni kweli ukienda hosptal watakwambia unafikiri sana, sana sana watakwambia nenda kwa wanasaikologia sabababu umebaba kitu ambacho mwili hauwezi beba, sio orignal yake.
Ni kweli tunataka watoto lakini, wanatoka kwa Mungu na hutupa kwa imani, hata wewe unaweza kupata kwa imani.Ili uwe huru mwachile huyo mtu, sio kazi rahisi lakini ni kwa ustawi wako na yayobaki lia na MUNGU na atakwambia likopasalo.