Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Mkuu ukifika uendako, wakati wa kurudi pitia hapa ukae kitako utoe japo neno
WERASON MM HUWA NAPENDA AMANI SANA ILA UKINICHEFUA SISAMEHE NINA ROHO YA KISASI KABISAA NDO MAANA SIPENDI MAZOEA SAAANA NA BINADAM MAANA NAHOFIA KUWAKABA MAKOO... MUDA MWINGI NAANGALIA MOVIE NAKAA BED NA KUZURURA MITANDAONI

NA ISITOSHE NINA HASIRA KULIKO COBRA...IN SHORT NINA TABIA KAMA NYOKA HAKUUMI MPAKA UMCHOKOZE ....

UNA SWALI LOLOTE MKUU JIBU FASTA KUNA MBAYA WANGU ANAKUJA UPANDE WA MEZA YANGU HAPA OFISINI MOOD ITABADILIKA SASA HIVI
IMG-20160112-WA0010.jpg
 
WERASON MM HUWA NAPENDA AMANI SANA ILA UKINICHEFUA SISAMEHE NINA ROHO YA KISASI KABISAA NDO MAANA SIPENDI MAZOEA SAAANA NA BINADAM MAANA NAHOFIA KUWAKABA MAKOO... MUDA MWINGI NAANGALIA MOVIE NAKAA BED NA KUZURURA MITANDAONI

NA ISITOSHE NINA HASIRA KULIKO COBRA...IN SHORT NINA TABIA KAMA NYOKA HAKUUMI MPAKA UMCHOKOZE ....

UNA SWALI LOLOTE MKUU JIBU FASTA KUNA MBAYA WANGU ANAKUJA UPANDE WA MEZA YANGU HAPA OFISINI MOOD ITABADILIKA SASA HIVIView attachment 328734
Sina swali.
 
Kwa knowledge yangu ndogo ya psychology we unatatizo na MTU umejaribu kusamehe umeshindwa au hutaki!! Na the only option you see is revenge!! Na unataka support ya hilo!! I'm out!! Bible inasema kisasi hakimalizi ugomvi au tatizo ila huleta machafuko zaidi hata mauti zaidi!! Kama unaona kisasi kitakusaidia Fanya ila jiandaae na lolote litalotokea as a consequences!! Maana msamaha huwa ni full stop!! Wewe unatafuta "DOs" au Go On"
Kuna vitu vingi sana tunavikosea,hata wanasaikolojia bado maisha kwao hayaendi kama unavyojua.maisha ya binadamu ni sisi wenyewe tunaamua kuyafanya kuwa kama yalivyo.Kuyaendesha kwa njia za kisomi,kikemie,kimahesabu na ugumu mwingi ndani yake.Asikusimulie mtu kutendewa ubaya unaoathiri akili na mwenendo wa mtu,,ubaya au hilo tendo litokee ndani yako.Hatufanani binadamu,tumeumbwa na sifa tofauti tofauti na ndizo tofauti yetu hiyo.Maumivu na utungu kamwe havifafani.Na makosa zaidi ni kuchanganya mazingira halisi ya mtu alivyo sijui na maandishi au mafundisho ambayo hayaeleweki,binadamu ni zaidi ya tunavyojifikiria"we'r complex organisms"
Msamaha unatokana na mazingira tunayotoka na jinsi ulivyozungukwa na hayo mazingira na misukumo ndani ya maisha yetu,hata aje nani hawezi kukushauri kirahisi kusamehe au kulipa kisasi kama huishi ndani ya hayo mazingira.
 
Kwa knowledge yangu ndogo ya psychology we unatatizo na MTU umejaribu kusamehe umeshindwa au hutaki!! Na the only option you see is revenge!! Na unataka support ya hilo!! I'm out!! Bible inasema kisasi hakimalizi ugomvi au tatizo ila huleta machafuko zaidi hata mauti zaidi!! Kama unaona kisasi kitakusaidia Fanya ila jiandaae na lolote litalotokea as a consequences!! Maana msamaha huwa ni full stop!! Wewe unatafuta "DOs" au Go On"
Never on earth mimi niko direct aidha nasamehe au namaliza kazi huwa silazi viporo na nikisamehe nasamehe mazima nikilipa nalipa na faida
 
ea22182088793d94f7d1d66b1dddcb77.jpg
hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile , hii inahusika na kulipa kisasi
Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe!msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni
Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo
Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe hasameheki? Na je kama ni mbabe mjuaji na dhulumati mkubwa?je kama anakuletea dharau kwa hali yoyote ile hata uwe msamehevu kiasi gani? Usiishi na maumivu! lipa au lipiza..!
Msamaha wako usikushushe msamaha wako usikufanye kiumbe dhaifu na mnyonge, utu wako ni muhimu heshima na dhima yako ni vitu vya kulinda na kuzingatia mno...ukishindwa kabisa kusamehe ukizidiwa na viwango vya uvumilivu wa kibinadamu usiumize roho yako andaa kisasi
Kama ilivyo kwa msamaha ile nafuu unayoipata kwenye kusamehe basi ndivyo ilivyo hata kwenye kisasi! Kisasi humpa mtu faraja na amani ya moyo huridhika kuona amefanya jambo baya kwa mtu mbaya
Tunaishi na wajuaji wengi kwenye jamii tunaishi na watu wanaojiona wao ni bora kuliko wengine wao ni zaidi kuliko wewe...wao ndio wanaijua pesa kuliko wewe. . . . usimpe nafasi mtu wa namna hii atambe...ni lazima umfundishe ajue kuwa maisha yana pande nyingi...kisha mfundishe kwa maumivu makubwa maumivu atakayodumu nayo mpaka kifo
LAKINI maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua...Fanya kile kitakachokupa nafuu ya rohoni na afya ya akilini kwakuwa uamuzi ni wako na mwisho utabaki wewe kama wewe ....visasi misamaha na malipizi vitabaki kuwa uamuzi binafsi kutokana na imani yako hofu yako na huruma yako
Na kisasi si lazima kiwe cha kujeruhi ama kukomoa na kuumiza lkn hata kukaa kimya na kumfuta kichwani mwako kabsaaaaaa alokuudhi na kukudharau,umeongea Jambo km unaona ninayopitia.msamaha limekuwa Jambo na fimbo kwangu
 
We samehe moja kwa moja,Visasi,Visasi mwishowe risasi.
Visasi hata mm sishauri maana kuna sehemu SS pia tunakosea na kuhitaji kusamehewa.lknkwa dunia ya sasa ilivo yapasa kuwa makini baada ya kusamehe tena na tena maana wajinga huchukulia upenyo huo kukuumiza kila Mara.
Samehe afu ukio mtu hathamini msamaha wako ma ana utumia km fimbo chukua hatua ya kumuepuka maana bila hivo atakutia dhambi
 
Ndio inavyotakiwa hivyo, ukishasamehe MTU Na ukimuona hathamini msamaha basi ni kumuepuka Na kukaa naye mbali maana unaweza kuishia pabaya.
 
I never thought I would ever revenge on anyone mara nyingi am a forgiving person
It happened someone touched,touched twice, where I care too much about and I had no choice.. Amani imerudi
 
Back
Top Bottom