Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Huu uzi umenigusa sana, kuna muhuni kanifanyia umafya wa ajabu sana (dhuluma) kumsamehe nimeshindwa kbs namvutia kasi, ni lazima nimuwajibishe ili nafsi yangu ipate amani!
Vipi mrejesho... Ulitimiza azma yako?

Jr[emoji769]
 
ea22182088793d94f7d1d66b1dddcb77.jpg

Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile , hii inahusika na kulipa kisasi.

Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni.

Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo.

Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe hasameheki? Na je kama ni mbabe mjuaji na dhulumati mkubwa?je kama anakuletea dharau kwa hali yoyote ile hata uwe msamehevu kiasi gani? Usiishi na maumivu! lipa au lipiza..!

Msamaha wako usikushushe msamaha wako usikufanye kiumbe dhaifu na mnyonge, utu wako ni muhimu heshima na dhima yako ni vitu vya kulinda na kuzingatia mno...ukishindwa kabisa kusamehe ukizidiwa na viwango vya uvumilivu wa kibinadamu usiumize roho yako andaa kisasi.

Kama ilivyo kwa msamaha ile nafuu unayoipata kwenye kusamehe basi ndivyo ilivyo hata kwenye kisasi! Kisasi humpa mtu faraja na amani ya moyo huridhika kuona amefanya jambo baya kwa mtu mbaya.

Tunaishi na wajuaji wengi kwenye jamii tunaishi na watu wanaojiona wao ni bora kuliko wengine wao ni zaidi kuliko wewe...wao ndio wanaijua pesa kuliko wewe. . . . usimpe nafasi mtu wa namna hii atambe...ni lazima umfundishe ajue kuwa maisha yana pande nyingi...kisha mfundishe kwa maumivu makubwa maumivu atakayodumu nayo mpaka kifo.

LAKINI maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua... Fanya kile kitakachokupa nafuu ya rohoni na afya ya akilini kwakuwa uamuzi ni wako na mwisho utabaki wewe kama wewe..

Visasi misamaha na malipizi vitabaki kuwa uamuzi binafsi kutokana na imani yako hofu yako na huruma yako.
Ndugu kulipiza kisasi si suluhisho katika kutatua tatizo cha msingi ni kumuachia Mungu maana sisi ni wa kupita tu
 
Lakini kumbuka si kila mmoja wenu anamjua na kumwamini Mungu

Jr[emoji769]
 
Dah...mwaka 31 huu...nasubiri aingie kwenye 18..nifanye yangu...na sijachoka kusubiri[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Kisasi huzaliwa, hulelewa kukua, kukomaa na hatimaye huzeeka kufa na kuzikwa

Jr[emoji769]
 
ea22182088793d94f7d1d66b1dddcb77.jpg

Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile , hii inahusika na kulipa kisasi.

Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni.

Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo.

Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe hasameheki? Na je kama ni mbabe mjuaji na dhulumati mkubwa?je kama anakuletea dharau kwa hali yoyote ile hata uwe msamehevu kiasi gani? Usiishi na maumivu! lipa au lipiza..!

Msamaha wako usikushushe msamaha wako usikufanye kiumbe dhaifu na mnyonge, utu wako ni muhimu heshima na dhima yako ni vitu vya kulinda na kuzingatia mno...ukishindwa kabisa kusamehe ukizidiwa na viwango vya uvumilivu wa kibinadamu usiumize roho yako andaa kisasi.

Kama ilivyo kwa msamaha ile nafuu unayoipata kwenye kusamehe basi ndivyo ilivyo hata kwenye kisasi! Kisasi humpa mtu faraja na amani ya moyo huridhika kuona amefanya jambo baya kwa mtu mbaya.

Tunaishi na wajuaji wengi kwenye jamii tunaishi na watu wanaojiona wao ni bora kuliko wengine wao ni zaidi kuliko wewe...wao ndio wanaijua pesa kuliko wewe. . . . usimpe nafasi mtu wa namna hii atambe...ni lazima umfundishe ajue kuwa maisha yana pande nyingi...kisha mfundishe kwa maumivu makubwa maumivu atakayodumu nayo mpaka kifo.

LAKINI maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua... Fanya kile kitakachokupa nafuu ya rohoni na afya ya akilini kwakuwa uamuzi ni wako na mwisho utabaki wewe kama wewe..

Visasi misamaha na malipizi vitabaki kuwa uamuzi binafsi kutokana na imani yako hofu yako na huruma yako.
Umenena vyema sasa kama umeshindwa kusamehe kifanyike nini ni kufanya malipizi! Japo Msamaha una Nguvu sana kinachochanganya tena Ukisamehe sahau usiposahau huo sio msamaha! Kweli tuishi kwa hekima na busara tu
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji106][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Kwa kuwa maisha ni mchezo , ukipigwa kofi shavu la kushoto wewe rudisha tena sio kofi ila ngumi ya kusawasawa itakayoondoka na jino shavu la kulia . Hapo ndio nidhamu itafuata mkondo wake . Kusamehe mara 70 ni lugha ya biblia isiyoeleweka .

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom