Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti.
Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.
Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.
Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.
Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee