UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,934
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti.

Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.

Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.

Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.

Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee
 
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.

Maisha bwana. Brother umeiona kesho?una hakika utalea mtoto wako mpaka afike hatua ya kujitegemea kwa sababu tu hauna ngoma?ni kuomba Mungu tu.
Brother, tusiwanyanyapae hata kama walikuaje..., hakuna aliyekamilika.
 
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.
Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.
Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.
Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee
Wingi wa watoto hauhusiani na maambukizi. Wapo wenye maambukizi na hawana hata mtoto wa kusingiziwa
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom