Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,856
Hapa naiyakumbuka maneneo ya hayati Mtikila kwa Lowassa IKULU SIO CHUMBA CHA WAGONJWA MAHTUTI
Watoto watano wachache sana Bibi yao hapo analaumu tu, mwanga mbengu mwagaaa
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti.
Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.
Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.
Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.
Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee
Huyo ana maambukizi tu na ana weza kubadilika akawa mtu mwema sana.Miaka 22 umezaa na mabinti 2, umewatia mimba wengine 2. Huo sio umalaya ndugu?
Mtaani hapa alilala nao vibinti kama 4-5 within 2 weeks huo nao sio umalaya?
Isikie kwa wenzako usiombe ikukuteMKUU MBONA KAMA ULIKUWA UNAMUONEA GERE HIVI??
Usimtenge wala kumdhihaki wala kumcheka bali mpe faraja ,kesho yetu bado ni mbali na yenye safari ya kizani .Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti.