Ukijijua una kasura kako private

Ukijijua una kasura kako private

Watoto wazuri ukubwani wanakumbwa na mengi ya kidunia na wengi hupote hubweteka na uzuri wao na kujipata ktk maisha flani yasiyoendana na vile walivyo. Wakiume anaweza kulelewa na mijimama ya mjini akakosa kuwa na kipato chake mwenyewe kitakachopelekea kuwa na familia yake. Wakike ataishia kupigwa/kugombewa kama mpira wa ragbi lakini kuolewa no.
 
Aisee kuna watu wana damu Kali balaa kuna Shoga yangu mzuriiiiii haswa, mmewe kamuharibia watoto sio mshichana wala mvulana, kizuri pesa zipo watoto wanasoma expensive schools mwakani wanaenda kusoma sauzi wataoana na matajiri wenzao.

Hakuna mtoto wa tajiri anaekosa mke/mme
Mtoto wa kishua wa kike mme anakosa vibaya sana
 
Aisee kuna watu wana damu Kali balaa kuna Shoga yangu mzuriiiiii haswa, mmewe kamuharibia watoto sio mshichana wala mvulana, kizuri pesa zipo watoto wanasoma expensive schools mwakani wanaenda kusoma sauzi wataoana na matajiri wenzao.

Hakuna mtoto wa tajiri anaekosa mke/mme
Ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom