theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Naam" Mimi naomba afuate sura yako tu mamaa....Naomba tusafishiane kaukoo pls [emoji7][emoji7][emoji4]
Naam" Mimi naomba afuate sura yako tu mamaa....Naomba tusafishiane kaukoo pls [emoji7][emoji7][emoji4]
Viben 10 watakuwa wanamtia Gundu tu..😀😀😀😀 hata vibe10 vinakosa?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] wakike ila wakiume afuate sura yako[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Naam" Mimi naomba afuate sura yako tu mamaa....
Duuuuuu mkuu sasa wenye sura mbaya wataolewa na nani? Sasa kwa Taarifa yako hao unaowaona wabaya ni watamu sana alafu wanajua kuishi na mwanaumeUkijijua una kasura kako private jitahidi kuoa mwanamke mzuri akusafishie ka ukoo kidogo
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] wakike ila wakiume afuate sura yako[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hujui science pita kimya hajaropoka alichosema ni sahihi 100%Tusidanganyane, Mtoto Lazima Afanane Na Mzazi Mmoja Wapo, Vinginevyo Mwanaume Unaibiwa
HahahahaUkijijua una kasura kako private jitahidi kuoa mwanamke mzuri akusafishie ka ukoo kidogo
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Daah sasa hyo sura ya urembo ya nini kama huna hela??Mimi kama mwanaume na sura ya urembo ni pm tuyajenge uone mwenyewe si utani
Sawa!Hujui science pita kimya hajaropoka alichosema ni sahihi 100%
@Sumbai wanawake wabaya wapo, ila hamna mwanaume mbaya.Hamnaga mwanamke mbaya....!
Sio kweli.Tusidanganyane, Mtoto Lazima Afanane Na Mzazi Mmoja Wapo, Vinginevyo Mwanaume Unaibiwa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] dahUkijijua una kasura kako private jitahidi kuoa mwanamke mzuri akusafishie ka ukoo kidogo