AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,233
- 20,532
Nipo maeneo fulani hivi nimepumzika room baada ya safari ndefu. Sasa hii sehemu nje kidogo kuna ka-pub. Kuna wazee wa makamo walikua wamepaki ndinga wanakula gambe na kuwanunulia wengine.
Kabla mechi ya Simba haijaanza yaan wameanza kula gambe tangu saa 6 inaenda saa 7 ni chupa vizibo vizibo chupa wanawanunulia na wengine wahudumu watu wengine wa kawaida yaan ni mupe muruke.
Basi muda ukasogea kufupisha story kwenye majira ya jioni giza linaingia nikaona Mzee km anabishana na muhudumu hapo nadhani chupa zishajaa kichwani muhudumu kanywesha bia kadhaa na Mzee kashakunywa bia za kutosha. Wakawa wanabishana kuhusu masuala yale ya chumbani muhudumu anamwambia "wewe Mzee tako 2 tu umekojoa.. hizo shughuli huwezi waachie vijana wewe umeshazeeka".
Mzee akawa mbishi anamwambia "mimi shughuli yangu hao unaosema vijana hawanifikii kwanza mimi sio Mzee.." basi mimi huyo nikakatisha nikaenda kufanya muamala.
Kumbe huku nyuma muhudumu akafanya mchakato akaleta manzi kumletea Mzee yaan akaleta bonge la dada duu lina bonge la mitako nyuma minyama km yote halafu ni likali balaa hela inaongea.
Basi nikarudi nikakatisha nikawaona nikajua tayari Mzee kaletewa zigo akalipigilie, nikaingia nilipofikia room nikawa naendelea kucheck movie.
Sasa wakakaa kidogo baada ya gemu ya Simba kuisha tu nasikia yule Mzee kachukuana na lile tinginya aliloletewa na mhudumu wakaingia room ya pili kutoka room yangu wakawa wameingia kufanya mambo yao ya kikubwa huko.
Muhudumu si alimwambia kua "Mzee hayo mambo huyawezi" sasa alichokifanya akawasindikiza mpaka mlangoni funguo anayo yeye mkononi, basi waliopoingia akatia lock nje kawafungia kwa nje kwamba Mzee si unajifanya haya mambo unayaweza haya piga hilo tinginya mpaka kukuche.
Mimi nikawasikia tu wanaongea huko nje masuala ya bei kulipana sijui nini nikaendelea na mambo yangu.
Ila usichoamini zilipita dakika 9 hazikuvuka 10 Mzee akaanza kurupushani huko ndani yaan anataka kutoka na mlango umefungwa kwa nje. Bamiza mlango wapi muhudumu katulia tu. Hakuja kufungua.
Sasa nikajiuliza huyu Mzee ameingia na huyu manzi huko ndani lengo lake lilikua ni nini mboni zimepita dakika 9 hata 10 hazijafika kweli?
Mzee akaona hafunguliwi akaanza kubomoa vioo vya madirisha ili apite hata dirishani, pasua pasua vioo, tungi sio kabisa. Ukilewa acha fujo utapigwa au utalipa gharama.
Nikajiuliza sasa Mzee huyo manzi mwenye mshepu si umeitisha mwenyewe uletewe sample km hio kitu nyuma jiwe Fatuma limenona balaa kichuguu kimeumuka balaa sasa mboni unaanza kumkimbia huko ndani kwanini si uendelee kumfokonyoa kisawasawa si ulitaka mwenyewe?
Kidogo vioo vilivyopasuliwa ndio muhudumu akashtuliwa aje afungue hawa watu watavunja mlango au wataumizana huko ndani maana ilionekana km wanapigana kumbe ni kurupushani za Mzee kutaka kutoka huko ndani. Show kaishindwa yaan show imemshinda hawezi kuendelea na game.
Ndio muhudumu akaja kuja kufungua kufika baada ya kufungua Mzee alipotoka akaanza kutembeza makonde kichapo ni ngumi kwa muhudumu na kwa wengine wanaomtetea muhudumu nao akaanza kuwarushia ngumi kwamba kwanini wamemfungia nje?
Nikajiuliza sasa Mzee wewe si ulikua unabishana pale kwamba wewe sio wa tako 2 kimoko chali kuinuka tena mpaka ipigwe jeki ebu fungua niende, sasa kiko wapi Mzee wangu umeumbuka? Na hapo yupo maji yamejaa kichwani.
Aisee ukilewa nenda kalale, Mzee kaingia gharama za kulipa vioo vya madirisha alivyovipasua kwa ujinga wake. Siku nyingine kitu km unajijua huwezi usibishane na watu utaumbuka vibaya sana. Mzee kujisifia kote kule kumbe dakika 2 tu kamaliza.
NB; Na ukijijua umeshalewa elekea nyumbani kwako nenda ukalale utajitia aibu. Na ukijijua wewe una show mbovu acha sifa za kijinga ridhika na jinsi ulivyo usipende kujisifia vitu ambavyo hauwezi.
Lile tinginya lingekua limekamatiwa na kijana mmoja rijali nadhani mpaka muda huu lingekua linaendelea kupelekewa moto maana sio kwa ile mitako.
Kila aliekuja kuangalia Mzee analikimbia lile tinginya alibakia mdomo wazi eeh sasa Mzee hili tinginya umelishindwa ndio unaleta fujo namna hii kweli? Ni aibu.
Ukilewa kalale kuepusha aibu zisizo na ulazima. Leo sijanywa bia kabisa.