Ukijijua una kasura kako private

Ukijijua una kasura kako private

Mi dada yangu aliwahi kuniambia kuzaa watoto wazur au wabaya ni utumbo wako eti, lkn nahs ni kweli kuna baba na mkewe jamani wabaya hao ila watoto wao sasa huchoki kuwaangalia yn
Aisee, huyo dada yako atakua mtaalamu sana, kwamba utumbo wako ndo sura za wanao.

Hivi mtu mbaya anakua na sifa zipi? Ili nijue kabisa mimi na ubavu tuko kundi gani.
 
Mambo ya genes yanaplay role kubwa... Unaweza zaa mtoto akafanana na bibi au babu zako wa kale
Mnaweza mkazaa mtoto akawa ana sura hata hamjui kafanana na nani
Btw hakuna mbaya duniani..
 
Mi dada yangu aliwahi kuniambia kuzaa watoto wazur au wabaya ni utumbo wako eti, lkn nahs ni kweli kuna baba na mkewe jamani wabaya hao ila watoto wao sasa huchoki kuwaangalia yn
Kuna mtu anasaidiwa kimyakimya
 
Aisee kuna watu wana damu Kali balaa kuna Shoga yangu mzuriiiiii haswa, mmewe kamuharibia watoto sio mshichana wala mvulana, kizuri pesa zipo watoto wanasoma expensive schools mwakani wanaenda kusoma sauzi wataoana na matajiri wenzao.

Hakuna mtoto wa tajiri anaekosa mke/mme
 
Mmmhhh hiyo avatar [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mi dada yangu aliwahi kuniambia kuzaa watoto wazur au wabaya ni utumbo wako eti, lkn nahs ni kweli kuna baba na mkewe jamani wabaya hao ila watoto wao sasa huchoki kuwaangalia yn
 
Sidhani ...Nina shangazi yangu mbaya (Mungu samehe Mimi) ila ana watoto visu hatari..wakiume ni mahandsome wakike bonge la toto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom