Tuma picha zenu niwaambie kama ni wabaya au wazurAisee, huyo dada yako atakua mtaalamu sana, kwamba utumbo wako ndo sura za wanao.
Hivi mtu mbaya anakua na sifa zipi? Ili nijue kabisa mimi na ubavu tuko kundi gani.
Ngozi yangu imegoma kua smooth sijui nitumie nnSura mbaya au nzuri inatokana na mfumo wako wa ulaji na maisha...Kama una maisha mabuvu tia maji tia maji jua lako mvua yako,kula makapi,huna furaha,unakaa sehemu mbovu kulala sehemu chafu,mazingira ya seheu unayokaa mabovu lazima sura ichakae kama ngozi ya goti...Muonekano wa ngozi ndio unadetermine sura.....Hata Demu akiwa na sura nzuri lakin ingozi ikiwa mbovu haipendezi not smooth lazima ataonekana sura nzito na mbaya....Na hata kama una sura kama masoud sura mbaya kama una ngozi smooth utaonekana mzuri au handsome.
Nitume hapa hapa hadharani au sirini?Tuma picha zenu niwaambie kama ni wabaya au wazur
Afadhali umeuliza kwa sababu hata Mimi nimejiuliza maswali mengi sanaUtumbo wa kupitishia chakula au utumbo upi huo..
Hapana tuma siriniNitume hapa hapa hadharani au sirini?
Ngoja nikirudi nyumbani baadae niongee na mchepuko wangu unielekeze namna ya kutuma.Hapana tuma sirini
ubaya ni comperative terms....shangazi ni mbaya ukimlinganisha na nani[emoji3]Sidhani ...Nina shangazi yangu mbaya (Mungu samehe Mimi) ila ana watoto visu hatari..wakiume ni mahandsome wakike bonge la toto
Wameolewa ama bado umri
Nipe namba zake apate sponsor mpya, mwambie mimi ni mmoja wapo ya waliopokea mafao ya koroshow.Wakiume mmoja kaoa mzuri mwenzie..mwingine bado
Ila wa kike anadanga tu mjini
[emoji3][emoji3]Nipe namba zake apate sponsor mpya, mwambie mimi ni mmoja wapo ya waliopokea mafao ya koroshow.
[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3]
Haumuwezi bana
Namjua mdogo angu vyema sana[emoji23] [emoji23]
Umejuaje?
Kila shetani na mbuyu wake, we tuma namba mengine ntamaliza mwenyewe[emoji39]Namjua mdogo angu vyema sana
[emoji3][emoji3]Kila shetani na mbuyu wake, we tuma namba mengine ntamaliza mwenyewe[emoji39]
Ewaah haya ndo maneno, ngoja nianze kuvunja kibubu changu kabisa.[emoji3][emoji3]
Sawa subiri namba
[emoji3][emoji3]Ewaah haya ndo maneno, ngoja nianze kuvunja kibubu changu kabisa.