Karibu tupige gumzo kuhusu Biashara ya Duka genge

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,019
Reaction score
14,947
Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu,
Yaani mtu usiye na tamaa na anasa.
''Decent kind of life,''

Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia.

KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo kheri.

Kwa ndani unachoma udi kama ''air freshener'' basi kuchangamsha kijiwe.

Umefumgulia Radio huku ukisikiliza tuhabari twa usubuhi,,,,,,au kama vp unapiga reggae za bob huku ukipuliza ka SM kako na kwa ndani una kale keupe unapiga funda kidogo kidogo ukiwasubiri raia,

Kama unafuga tu kuku basi angalau mayai mawili matatu ya kienyeji umeyaweka kwenye bakuli la buluu ukisubiria wateja...

Kama una kaeneo waweza kulima tu mchicha na ukaleta tu fungu ukatupiga bei,

Kama uko vizuri hata tung'ombe unaleta tumaziwa fureshi unapiga hela,,,

AU SIO VP BWANA
 
duka genge wanaita 2 in 1, yanafanya vizuri sana kama hakuna tishio la maduka au magenge makubwa jirani
 
Tatizo alizingua pakubwa sana mazeee, maana haiwezekani nimeacha zipu wazi alafu ananiambia kwamba.... faza, umeacha geti wazi.... nami nikamjibu, umeona nilivyo paki renji rova?
Akasema, hapana.... nimeona ulivyo paki stalet tena na tairi zake mbili zote zinapancha...
Yaani kaniharibia siku yangu kabisa huyu binti muuza genge...🫤
 
Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu,
Yaani mtu usiye na tamaa na anasa.
''Decent kind of life,''

Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia.

KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo kheri.

Kwa ndani unachoma udi kama ''air freshener'' basi kuchangamsha kijiwe.

Umefumgulia Radio huku ukisikiliza tuhabari twa usubuhi,,,,,,au kama vp unapiga reggae za bob huku ukipuliza ka SM kako na kwa ndani una kale keupe unapiga funda kidogo kidogo ukiwasubiri raia,

Kama unafuga tu kuku basi angalau mayai mawili matatu ya kienyeji umeyaweka kwenye bakuli la buluu ukisubiria wateja...

Kama una kaeneo waweza kulima tu mchicha na ukaleta tu fungu ukatupiga bei,

Kama uko vizuri hata tung'ombe unaleta tumaziwa fureshi unapiga hela,,,

AU SIO VP BWANA
Tumaji twa Mwamposa😄
 
Wewe una biashara gani mkuu kati ya hizo!
Angalau natamani kuwa na kama hiyo....kwa sasa nina tu 'Thermos' tuwili tutatu najaribisha gahwa kwenye kijibenchi,,,,
 
Watu mnaoongeaga hivi mnakuaga na maokoto si ya kitoto.....

We sio wa vithermos wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom