Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Hiyo nauli naitumaje?Nitumie nauli basi nikuje uko kwa waziri mkuu
Hiyo nauli naitumaje?Nitumie nauli basi nikuje uko kwa waziri mkuu
Umeona eeeh?..Afadhali umeuliza kwa sababu hata Mimi nimejiuliza maswali mengi sana
Hili nalo neno mamaaLilieni bahati za watotot wenu msililie uzuri watoto wakija kuwa wadangaji na vimarioo msilalamike!!
Hata inbox kwangu sio mbaya maana mm ndio rais wenu😀😀Wenye sura private tunacomment wapi eti
NakujaHata inbox kwangu sio mbaya maana mm ndio rais wenu[emoji3][emoji3]
Ukiona mitoto haifanani kabisa na wazazi jaribu kumuangalia houseboyMambo ya genes yanaplay role kubwa... Unaweza zaa mtoto akafanana na bibi au babu zako wa kale
Mnaweza mkazaa mtoto akawa ana sura hata hamjui kafanana na nani
Btw hakuna mbaya duniani..
Karibu sana 😀😀 ujisikie upo nyumbaniNakuja
Watu wamefikia hatua mbaya ya kujisahau mpaka unaogopa!!!...Mungu awasamehe tu mpwa!!Hii thread inaonyesha kiasi gani watu tumeishiwa hekima na busara...
Nitafutie traffic handsome ukimpata nakupa 500KMambo ya genes yanaplay role kubwa... Unaweza zaa mtoto akafanana na bibi au babu zako wa kale
Mnaweza mkazaa mtoto akawa ana sura hata hamjui kafanana na nani
Btw hakuna mbaya duniani..
KikoreaUmeandika nini hapa ?
Nitafutie traffic handsome ukimpata nakupa 500K
Dodoma kubwa anafanya kazi traffic mkoa au wilaya?Yupo dom.. Ni shemeji yangu
Inaongea kwa lugha ya picha