Ukijijua una kasura kako private

Ukijijua una kasura kako private

[emoji3][emoji3][emoji3]umenichekesha sana...
Mi dada yangu aliwahi kuniambia kuzaa watoto wazur au wabaya ni utumbo wako eti, lkn nahs ni kweli kuna baba na mkewe jamani wabaya hao ila watoto wao sasa huchoki kuwaangalia yn
 
Mi dada yangu aliwahi kuniambia kuzaa watoto wazur au wabaya ni utumbo wako eti, lkn nahs ni kweli kuna baba na mkewe jamani wabaya hao ila watoto wao sasa huchoki kuwaangalia yn

Wewe itakuwa ule utafiti wa mkemia mkuu ulikupita mbali ile asilimia sijui ngapi ya kesi zote watoto si wa baba zao walezi. Huyo baba na mkwewe inawezekana ni wahanga wa hiii kiti
 
Aisee kuna watu wana damu Kali balaa kuna Shoga yangu mzuriiiiii haswa, mmewe kamuharibia watoto sio mshichana wala mvulana, kizuri pesa zipo watoto wanasoma expensive schools mwakani wanaenda kusoma sauzi wataoana na matajiri wenzao.

Hakuna mtoto wa tajiri anaekosa mke/mme
Kamuharibia watoto? Mungu wangu wenye sura zetu private tusije tukaolewa familia za warembo mwisho tuambiwe tumeharibu watoto wa watu
 
Aisee kuna watu wana damu Kali balaa kuna Shoga yangu mzuriiiiii haswa, mmewe kamuharibia watoto sio mshichana wala mvulana, kizuri pesa zipo watoto wanasoma expensive schools mwakani wanaenda kusoma sauzi wataoana na matajiri wenzao.

Hakuna mtoto wa tajiri anaekosa mke/mme
Umeandika nini hapa ?
 
Daah hizi kauli zenu za kwamba mtu anamharibia mwenzie watoto mnazitoa wapi wandugu ina maana ye huyo baba watoto hawamhusu?
Haya mambo ya ajabu ajabu jirani yanapatikana huku kwa akina yahe, maana akili zetu muda mwingi zipo idle.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom