Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,356
- 29,312
Za asubuhi jamii
Ujumbe wangu uende kwa wanao watia ujinga vijana wasioe,acheni ujinga
Ujumbe wangu uende kwa wanao watia ujinga vijana wasioe,acheni ujinga
Bwashee ndoa si tamu ? Za nini kelele mangi?Za asubuhi jamii
Ujumbe wangu uende kwa wanao watia ujinga vijana wasio,acheni ujinga
Hodi humu JF. Asubuhi njema wakuu.Wakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa hiyo ni vizuri kusalimiana na kujuliana hali.
"Asubuhi njema"
"Mchana mwema"
"Usiku mwema" zitumike.
Jambo jemaWakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa hiyo ni vizuri kusalimiana na kujuliana hali.
"Asubuhi njema"
"Mchana mwema"
"Usiku mwema" zitumike.
karibu. Asubuhi njema kwako pia.Hodi humu JF. Asubuhi njema wakuu.
nilikua fresh. Sijui wewe¿Jambo jema
Ila mie utanivumilia kidogo
Lugha zangu hazina staha
Ingawa najitahidi sana kutumia tafsida
hapa ni pahala pangu pa kutolea musongo cum mawazo
Vp wajionaje khali yako huko nyuma??
Alhamdulilah naingia kulala wima,,,,nilikua fresh. Sijui wewe¿
tuma salamu kwa watu watatuZa asubuhi jamii
Ujumbe wangu uende kwa wanao watia ujinga vijana wasioe,acheni ujinga
Ujumbe gani sasa?Za asubuhi jamii
Ujumbe wangu uende kwa wanao watia ujinga vijana wasioe,acheni ujinga
karibu mkuu tuma salamu kwa watu watatuHodi humu JF. Asubuhi njema wakuu.
Wewe kumbe ni msumbufu nishakuona.Wakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa hiyo ni vizuri kusalimiana na kujuliana hali.
"Asubuhi njema"
"Mchana mwema"
"Usiku mwema" zitumike.
Tafuta namna ushike jembw ukalime hata kama mikono imekatika, bepari hana adabu!Mi mikono inaniuma😔
Napenda kutuma salamu zangu kwa wakuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable na MamaSamia2025 . Nawatakia kazi njema huko Lumumba.karibu mkuu tuma salamu kwa watu watatu
Kwani hauwezi ukalima ukanipatia mazao ako kidogo 🙄Tafuta namna ushike jembw ukalime hata kama mikono imekatika, bepari hana adabu!
Ujumbe acheni ujinga oeni!@Th
Ujumbe gani sasa?
Mbona hujauweka huo ujumbe wenyewe?
Hmm wa kiume huyuWewe kumbe ni msumbufu nishakuona.
Ila kwa kuwa ni wakike endelea kudeka toto Zuri.
Hmm Emily magnus badili username mkuu, soon utakalia mshipa!Alhamdulilah naingia kulala wima,,,,
Mshipa mkuu umenyooka balaa
Humu JF usiamini kila kitu,unaweza kukuta kiongozi wa kataa ndoa,yumo ndani ya ndoa na ana watoto.Ujumbe acheni ujinga oeni!