Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Namtumia salamu mpumuliwa kisogoni aunt GENTAMYCINE.
ID inayoogopwa Kuchukuliwa hatua (KUADHIBIWA) na Moderators wa JamiiForums kwa kupenda Kunichokoza, Kunitukana, Kunishambulia na Kunidhalilisha. Na nina uhakika kwa jinsi hawa hawa wanaoigopa hii ID wanavyonichukia hivi anavyofanya Yeye (inavyofanya hii ID) ingekuwa ndiyo Mimi GENTAMYCINE hivi sasa ningekuwa BANNED tayari ama kwa Siku 30 au Siku 90. Ni kama vile Moderators wa JamiiForums wanafurahia hiki akifanyacho japo nimeshairipoti sana hii ID Kwao.

Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Back
Top Bottom