Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,400
- 9,548
Saa hizi wako wanatafakari waandike nini kusifu bobeziNapenda kutuma salamu zangu kwa wakuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable na MamaSamia2025 . Nawatakia kazi njema huko Lumumba.
Saa hizi wako wanatafakari waandike nini kusifu bobeziNapenda kutuma salamu zangu kwa wakuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable na MamaSamia2025 . Nawatakia kazi njema huko Lumumba.
Mbn nilikuona kwenye bashi school hapo kibosho galzUlilewa?🤣
Na michepuko kama yote, wanajua kuililia hawa wa kujifanya majeuri😂Humu JF usiamini kila kitu,unaweza kukuta kiongozi wa kataa ndoa,yumo ndani ya ndoa na ana watoto.
😀😀
No wayyyMbn nilikuona kwenye bashi school hapo kibosho galz
Naweza tena vizuri tu, ila kunakuwa na conditions. Huo ndio ubepari wenyewe, no free lunch.Kwani hauwezi ukalima ukanipatia mazao
Yako kodogo 🙄
Emily jina la kiume , Emilliana ndio la kikeHmm Emily magnus badili username mkuu, soon utakalia mshipa!
Conditions tena jamani! Si tudogoo tu🥹Naweza tena vizuri tu, ila kunakuwa na conditions. Huo ndio ubepari wenyewe, no free lunch.
Nina marafiki wa kike wanajiita emily wengi tu, kama la kiume mbona mafisi wamemzingira hawajui kama ni me?Emily jina la kiume , Emilliana ndio la kike
Kabisa😃😄😁Humu JF usiamini kila kitu,unaweza kukuta kiongozi wa kataa ndoa,yumo ndani ya ndoa na ana watoto.
😀😀
Marekani akitoa msaada TZ kuna kitu anataka ku-gain, au unadhani anatoa bure tu?Conditions tena jamani! Si tudogoo tu🥹
Basi lete hizo kondisheni nijipime😁Marekani akitoa msaada TZ kuna kitu anataka ku-gain, au unadhani anatoa bure tu?
Zama za Nyerere za maduka ya ushirika na kulimiana mashamba ina the name of socialism zimepita, hazipo na haziji tena. Hata bure inalipiwa, au mtani wangu min -me unasemaje bwashee😅
Mganga wangu mwnyw n ww 🤣Ulifikiri upo kwa mganga wako😃
Mbuzi katoliki😀Mganga wangu mwnyw n ww 🤣
MwnywMbuzi katoliki😀
Wewe sikupi conditions, ila kwa hii hali ya hewa nahamasika mzee wa watu😅Basi lete hizo kondisheni nijipime😁
Mzee huna huruma mpaka na wajukuu jamani!Wewe sikupi conditions, ila kwa hii hali ya hewa nahamasika mzee wa watu😅
Mjukuu si unaweza kunihamasisha? Kwani shida iko wapi!!Mzee huna huruma mpaka na wajukuu jamani!
WiseboysTuwaiteje jamani wana majina mengi, marioo, Serengeti boys!
Fanya kweli basi acha zako😅Mjukuu si unaweza kunihamasisha? Kwani shida iko wapi!!
Limepita!Wiseboys