Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,599
- 25,713
min -me em zungumza na kipenzi chetu seran nimtumie lipa nambaSawa kipenzi chetu, ndio kama nilivyokwambia!
min -me em zungumza na kipenzi chetu seran nimtumie lipa nambaSawa kipenzi chetu, ndio kama nilivyokwambia!
Unataka nn kwanWewe hebu tulia vichas tukae kundi moja halafu? Kwanza we ushavuka viwango nstaka kijana mstaarabu, mpolee, kila nnqchotaka yuko tayari kufanya☺️
Siku ile nilikuwa nimelewa wakati natuma muamala hadi nikatuma kwingine.Chenu we na nani? Subiri kwanza nikweleze huyo bwana mdogo ukituma no ya lipa utairudisha hana mzaha na mia mbovu😆
Kwamba mm sio mstaarabu, Hii imeniuma 🤣Wewe hebu tulia vichas tukae kundi moja halafu? Kwanza we ushavuka viwango nstaka kijana mstaarabu, mpolee, kila nnqchotaka yuko tayari kufanya☺️
Kazi ndogondogo tu😎Unataka nn kwan
Sio hilo, kuna tuvijana tupole sana hujui tu😆Kwamba mm sio mstaarabu, Hii imeniuma 🤣
Naziweza hizo 😎Kazi ndogondogo tu😎
C ndo mm sasa 😎Sio hilo, kuna tuvijana tupole sana hujui tu😆
Uongo! Basi leo tutumie tena😁Siku ile nilikuwa nimelewa wakati natuma muamala hadi nikatuma kwingine.
Pombe hizi jameni!!
Unajua kupika kufua kuosha vyombo na kudeki ndani?Naziweza hizo 😎
We shetani 😂C ndo mm sasa 😎
Ndo kazi zangu hizo, Sema lingineUnajua kupika kufua kuosha vyombo na kudeki ndani?
min -me ni mjomba wanguLipa no nalipia nini? Mtumie min me😁
At least hii itatukomboa wengine🤒😋Ongezea “Umekula”?
Mm n mjomba ake shetaniWe shetani 😂
Je, nikilewa tena 😎.Uongo! Basi leo tutumie tena😁
natuma salamu kwa rafiki yangu Setfree ujumbe: ulale unono Setfree na ujaliwe hekima zaidi pia utambue kuna mtu mahali fulani anakutafakariWakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa hiyo ni vizuri kusalimiana na kujuliana hali.
"Asubuhi njema"
"Mchana mwema"
"Usiku mwema" zitumike.