Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Asalaam Alyeikum.

Hamjambo marafiki.
leo dada , Seran , Makiwendo , Atoto , Shunie Poker Obe ,Lee .
Muwe na usiku mwema nyote ambao usiku umefika mahali mlipo
b61bf723-f9c5-42e9-8ed0-c5a08dbda463.jpeg
 
Wakuu! Ngoja nilale kidogo, nitaamka baadae. kwa waliosinzia, wanaosinzia, wataosinzia, waliopo online na wataokesha online, nawatakia
"Usiku Mwema"
 
Back
Top Bottom