Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,728
- 7,420
Nisalimie dada akoSi ndio
Nisalimie dada akoSi ndio
Hapana aisee!Basi huu uzi haukufai
MarahabaNisalimie dada ako
😎😎.ID inayoogopwa Kuchukuliwa hatua (KUADHIBIWA) na Moderators wa JamiiForums kwa kupenda Kunichokoza, Kunitukana, Kunishambulia na Kunidhalilisha. Na nina uhakika kwa jinsi hawa hawa wanaoigopa hii ID wanavyonichukia hivi anavyofanya Yeye (inavyofanya hii ID) ingekuwa ndiyo Mimi GENTAMYCINE hivi sasa ningekuwa BANNED tayari ama kwa Siku 30 au Siku 90. Ni kama vile Moderators wa JamiiForums wanafurahia hiki akifanyacho japo nimeshairipoti sana hii ID Kwao.
Reviser, Payge, Cookie, Paw, YinYang, Active, Moderator, Fang, Wand, Mhariri, Bridger, Principled, Refiner, celix, Xyln and JamiiForums Founder Maxence Melo
Amina kaka, mungu anazidi kuwa mwema.Kaka ndege salamaleko uhali gani nakusalimia 😁
Amani ya bwana iwe juu yako
Hahahaaa. Usijali mdogo wangu.Mwenzangu najua kujipoteza aisee daah uwe unanishtua kule maeneo
Nipo ndugu wanangu hawajambo lakiniHahahaaa. Usijali mdogo wangu.
Wote Alhamdulillah.Nipo ndugu wanangu hawajambo lakini
Marahaba! Karibu Jeiefu.Write your reply... duh! nmechelew kuuon uz mapem, nna mwez w 4 sas JF, shkamoon wakubwa zang woote !
10qMarahaba! Karibu Jeiefu.
Lini hawa wana waliniharibia simu lkn NipoWote Alhamdulillah.
Lini nimekupigia hupatikani.
Ni jambo jema ndugu panapo uzima kesho ntakucheck.Lini hawa wana waliniharibia simu lkn Nipo
Swahiba imekua kitambo bi ukhuty toka aonekane humu!Swahiba Mgagaa na Upwa haya ukhuty huyu hapa.