Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Habari za kuamka wana JF....
Natumai mko salama, basi ni jambo la kumshukuru MUNGU. Na kwa wale mliopatwa na na matatizo, kama ya kimaisha, basi MUNGU akuwezeshe uweze kuyatatua. Na kama ni kiafya, basi MUNGU akupe afya njema na nguvu, uendelee na maisha mazuri na vizuri.
 
Back
Top Bottom