Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

Kwenye Tech, hakuna uwezo wa kufuta data. Hiyo delete unayoandikiwa ni kama geresha tuu. Hiyo simu yako au PC inaweza rudisha data zote ulizowahi kufuta. Delete uwa inabadilisha address ya content tuu.

ukishaweka content yoyote kwenye simu au PC na ukaifuta anytime hiyo content inaweza kuwa retrieved.
Hii kitu nimeshuhudia pia.
 
Nakumbuka kwa mbali huwa zinakuwa electromagnetic waves. Sikumbuki kiundani mechanism yake.
Kasome volatile none volatile memory utakuta majibu yote.
Kwani memory za binadamu ukizisahau huwa zinaenda wapi?
 
Na hapo hapo niulize je ukifuta wasap message au picha kwenye wasap hii recycle bin yake ipo? na kama ipo je inakua wapi?
 
Ukifuta yaani "delete" picha ni kama umeificha tu kwenye simu na unaijulisha simu yako kuwa hiyo nafasi inayotumiwa na hiyo picha inaweza kutumika kuhifadhi kitu kingine. Hiyo picha inaweza kurudishwa kwa kutumia programu mbali mbali, njia pekee ya kuifanya hiyo picha isiweze kurudishwa ni kama ume delete hiyo picha na sehemu (space) iliyokuwa inatumika na hiyo picha ikatumika na faili lingine. Kuna programu zinazofuta kabisa "erase" file, hizo huchukua muda mrefu maana hufuta hiyo picha na kuandika data nyingi kwenye simu au kompyuta ili kupunguza uwezekano wa hiyo picha yako kurudishwa.

Nakumbuka zamani nilikuwa nasaidia watu walioformat flash disk au kufuta file kimakosa, hatua ya kwanza ilikuwa ni kuhakikisha haweki kitu chochote kwenye hiyo flash, kuna programu ukiweka file zote zinarudi.
 
Uzi mzuri sema kuna mbu wengi wachafuzi
😁😁😂😂😂😄😄😅😅😆😆😆😅😅😂😂😁😄😅😅😅😆
IMG-20230503-WA0003.jpg
 
Nikifuta zinaenda kwenye recently deleted.. naenda na huko nafuta.

Nikitaka kuisafisha na erase data tu. Ni shwaaaa kanabaki empty kabisa.
 
Nikifuta zinaenda kwenye recently deleted.. naenda na huko nafuta.

Nikitaka kuisafisha na erase data tu. Ni shwaaaa kanabaki empty kabisa.
Hiyo Recycle bin imewekwa ili kurudisha ulichokifuta, actually ni folder tu inayotumika kuhifadhi vitu usivyotumia.

Kama una flash ya 4GB utakuta ina actual space ya 3.7GB na sio 4GB. Hizo 300Mb zipo wapi?? Hizo ndio hua zinatumika kuhifadhi vitu vilivyofutwa. Ukifuta kitu kwenye computer hua kinakua compressed na kutupia kwenye partition maalumu ambazo hua zinatumika kuhifadhi vitu. Ukisoma CPU Architecture ndio unakuta mambo haya.

Hivyo basi kila unachoona kimefutwa hua kipo humohumo kwenye computer ila kinakua compressed na kua na size ndogo sana. Ndio maana wataalam huweza kufanya data recovery
 
Kuna siku niliconnect simu kwenye pc nihamishe vitu... nikakutana na folder la thumbnail image.. kulifungua maana kwenye simu halionekani... nilikuta picha zangu zote tangu nianze kutumia hii simu yani nilizopiga nikafuta, nilizotumiwa whatsapp etc.. nikachoka😀
 
Back
Top Bottom