Habari Wana JF,
Wataalam wa Numerology naomba msaada wenu kwenye hili
Ni takribani miezi miwili sasa kuna hii incidence imekuwa ikijirudia mara kwa mara na mwanzoni nilikuwa nikiipuuza ila sasa nahisi sio hali ya kawaida
Hali yenyewe ni hivi:
Nimekuwa nikiona namba 123 mara kwa mara kwa mfano naweza kutoa simu mfukoni niangalie masaa nakuta ni saa 1:23 au nikawa nimewasha data kwenye simu yangu then nikiscroll down niangalie zimetumika MB's ngapi nakuta ni 123
Au Whatsapp nakuta picha iliyotumwa ina MB's 123
Au nawasha TV kwenye kubadilisha channels nakuta Kuna mechi inaendelea na ni dakika ya 1:23
Kumbuka hiyo sio mara moja yaani ni situation inayojirudia rudia mara nyingi
Imebidi niilete kwenu kama Kuna mjuzi wa haya mambo anifafanulie