Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

Kwenye Tech, hakuna uwezo wa kufuta data. Hiyo delete unayoandikiwa ni kama geresha tuu. Hiyo simu yako au PC inaweza rudisha data zote ulizowahi kufuta. Delete uwa inabadilisha address ya content tuu.

Ukishaweka content yoyote kwenye simu au PC na ukaifuta anytime hiyo content inaweza kuwa retrieved.
Duh!
 
Hivi vifaa hakuna taarifa utakayofuta ipotee
Hata camera unapopiga picha na kuzifuta bado zitaendelea kubaki labda uivunjevunje
Ni muhimu kuwa muangalifu wakati wa kutumia
Bora hata computer kidogo, maana vitu ninavyofanya kwenye computer ni vichache sana, ila Simu ni kifaa cha kuogopa sana, simu inakufahamu wewe vizuri kuliko kiumbe kingine chochote duniani, na huwezi kuikwepa
 
Kwa teknolojia iliyopo hakuna kitu kinafutika. Ukifanya delete, wewe ndio utaona imefutika. Vyombo vya usalama vina peogram zenye uwezo wa kurudisha chochote kikichowahi kupitia kwenye simu yako. Hata kama ume delete vipi.
Niwakunbushe. Kijana mmoja akiwa Mmarekani akiwa shule akiwa kutoa comments zilizokashifu Wayahudi. Kasoma zake Uandishi wa habari. Kapelekwa Isarael kufanya kazi. Jamaa walinfukinyua mpaka wakaiona ile.comment yake wakafujuza nchini kwao.
 
Vuta picha, kama umeacha location "on" itakuhesabia kila mzunguko uliofanya na sehemu ulizo fika, na ukitaka data ya siku inakupa, ukitaka hata ya mwaka itakupa
Location on hata usipoiweka ukisha haribu wataalam wakiamua kukufungia kazi hawakukosi labda simu ui vunje vunje
 
Location on hata usipoiweka ukisha haribu wataalam wakiamua kukufungia kazi hawakukosi labda simu ui vunje vunje
Loh! Umeona balaa hilo! Ndio maana kuna mijitu hata simu haitumii kabisa, wana mawasiliano tata sana! Kuna mmoja kila nikimuuliza sababu ya kutokua na simu ilihali kuna simu mpaka za elfu10 anacho jibu ni namba ya NIDA hata hua ananifikirisha sana huyu jamaa
 
Internet never forget,kua makini sana na unachokipost,
Kuna watu wanapost picha za nusu uchi hasa wadada,kadiri muda na umri wao unavyokwenda,watatamani wazifute kabisa hizo picha kwenye hii Dunia but itakua haiwezekani tena.
Kuna dada rafiki yangu sana kaolewa mwaka jana.
Kuna instagram alifunguaga mwaka 2015 akiwa mbichi mbichi anakula bata kila kiwanja, pombe za kila aina na marafiki wa kike kwa kiume mpaka wazungu.

Sasa juzi katikati katika kuperuzi akaiona hiyo akaunti, eti akaiblock. Kisha akaja kwangu eti nimsaidie kufuta hizo picha manake akijua bwanake mpya ni hatari ataachika. Bahati mbaya namba aliyosajilia hana tena, nikamuuliza kama anaikumbuka hana.

Mpaka muda huu anajuta tu kwa jinsi alivyotupiaga hizo picha na nini kitatokea akiona bwanake.
 
Mimi naomba mnishawishi kwamba wazungu sio freemason wakati unaweza chaji simu kwa wireless charge
Pili mziki na picha tunatumianaje kwa Bluetooth
Kuna mambo mengine tunayaona ya kawaida ila ukifikiria kwa undani ni zaidi ya akili ya mwanadamu
Ila wale waliosoma historia ya tech watakuja kukuambia ni waves na blah blah
 
Loh! Umeona balaa hilo! Ndio maana kuna mijitu hata simu haitumii kabisa, wana mawasiliano tata sana! Kuna mmoja kila nikimuuliza sababu ya kutokua na simu ilihali kuna simu mpaka za elfu10 anacho jibu ni namba ya NIDA hata hua ananifikirisha sana huyu jamaa
Watu wenye kazi zao ni uso kwa uso tu na kuandika kwenye karatasi
Nashangaaga watu wanaulizia simu zenye privacy 😄 yaani upange ugaidi watu wakae kimya kisa faragha uchwara unakuja kukamatwa kama panya
 
Kwa teknolojia iliyopo hakuna kitu kinafutika. Ukifanya delete, wewe ndio utaona imefutika. Vyombo vya usalama vina peogram zenye uwezo wa kurudisha chochote kikichowahi kupitia kwenye simu yako. Hata kama ume delete vipi.
Niwakunbushe. Kijana mmoja akiwa Mmarekani akiwa shule akiwa kutoa comments zilizokashifu Wayahudi. Kasoma zake Uandishi wa habari. Kapelekwa Isarael kufanya kazi. Jamaa walinfukinyua mpaka wakaiona ile.comment yake wakafujuza nchini kwao.
Duuh
 
Back
Top Bottom