Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
457
Reaction score
773
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.

Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.

Screenshot_20250911_141402_Samsung Notes.jpg
Screenshot_20250911_141355_Samsung Notes.jpg
Screenshot_20250911_140021_Samsung Notes.jpg
 
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.

Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuataloView attachment 3469542
Kwani Kuna shida Gani mkuu
Ukiwasaidia ndugu wanaoishi na maambikizi ya ukimwi ,
Pia chukua tahadhari ndugu wamiliki wengi wa magari wanendeza ngono zembe Sana ,isehe ukawa miongoni mwa wanufaika 😊😊😊

Hiyo fedha inaweza pia ijanzisha Mfuko wa mama kuwasaidia waathirika
 
Hiyo Juni 2025 ni typing error au kitu Gani mkuu🤔
 
  • Thanks
Reactions: Lax
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.

Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuataloView attachment 3469542
Wenye magari vinara wa kusambaza UKIMWI 😎:DisGonBGud:
 
kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.

Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuataloView attachment 3469542

TAL akishatimba Magogoni zote hizo zitakuwa historia. Hilo mbona ni "just a matter of time?"
 
Kwani Kuna shida Gani mkuu
Ukiwasaidia ndugu wanaoishi na maambikizi ya ukimwi ,
Pia chukua tahadhari ndugu wamiliki wengi wa magari wanendeza ngono zembe Sana ,isehe ukawa miongoni mwa wanufaika 😊😊😊

Hiyo fedha inaweza pia ijanzisha Mfuko wa mama kuwasaidia waathirika
wakate kwenye posho na malupulupu ya viongozi
 
Hata ng'ombe akikamuliwa sana baadae maziwa atoi ataanza kutoa damu
 
Serikali ya anasa... mapato 100% Matumizi 85% . Baki usharikani matumizi ya kawaida na maendeleo 15%

Kuna kusogea mbele kweli.
 
Kodi inakusanywa
Matumizi hovyo

Unakinga maji kwenye kikapu?
 
Kwani Kuna shida Gani mkuu
Ukiwasaidia ndugu wanaoishi na maambikizi ya ukimwi ,
Pia chukua tahadhari ndugu wamiliki wengi wa magari wanendeza ngono zembe Sana ,isehe ukawa miongoni mwa wanufaika 😊😊😊

Hiyo fedha inaweza pia ijanzisha Mfuko wa mama kuwasaidia waathirika
Njia rahisi ya wanasiasa kupata pesa bila kuonyesha athari kwenye jamii, ni kuweka tozo kama hizi. Hakuna sehemu zimechotwa bali ukilipa, moja kwa moja zinakwenda kwenye akaunti zao.
 
Saidia wasio na uwezo.
Usichukie Kodi hizo ni kawaida ili Serikali ijiemdeshe,
Shida Kuna Masenge yametulia serikalini yanawaza hizo pesa yachote vipi hayo ndio ya kuyachukia
 
Kodi ya kitapeli sana hii,

Ila kwenye hili nipo na trump kwa 100%
 
Kuna mambo yanafurahisha sana, starehe za wengine, wanatozwa hata wasio husika...

Cc: Mahondaw
 
Kodi ya magari isiyo rasmi kwanini kuna hii kodi kwasababu samia amejisimika madarakani sio halali na dunia imekataa kutoa misaada anatakiwa aondoke

Huu ni upumbavu yote haya ni kwaajili tu ya mtu mmoja ? anaye dharau nchi na katiba anauwa anabaka katiba.

Solution ni samia kuondoka madarakani na watanzania tugome kulipa hizi kodi za kipumbavu.

FB_IMG_17660483959143400.jpg
 
Back
Top Bottom